Kuna muibua maovu na snitch, wewe siyo muibua maovu bali ni mpaliliaji hata wa madhaifu.Nisifurahie ulezi wa mama nifurahie nini sasa? 😁😁😁😁..
Narudia tena ukiona serikali au kampuni inasonga mbele ujue kuna wapambe na snitch bila hivyo Nchi haiendi,lazima wezi kama nyie muumbuliwe.
Kilaza mmojaMoja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Hana Uhalali kusimama Kugombea Uchaguzi 2025. Huu Mwaka patachimbikaMoja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Sisi tutasimama naeHana Uhalali kusimama Kugombea Uchaguzi 2025. Huu Mwaka patachimbika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama weweKilaza mmoja
Naona leo unapiga za uso tu..NYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Walimu wengi ni vilaza.Sema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Kwa hili jibu sitabishana tena na punguaniNi mlinzi wa maza ako
Mkuu hawa 59 Million una maanisha hadi wale vichanga watapiga kura? how about minors?Kauli yako hii itamponza mwenzio kwahiyo ina maana kura za watu wengine hazihitaji?? Nyie watumishi wa umma msiofika hata milioni moja na kidogo dhidi ya milioni 59?? Hujiulizi sekta binafsi? Umesahau hasira za walionyimwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii? Wamachinga mnao wafukuza kila leo? Bodabda mnaowapandishia petrol kila asubuhi kwa maendeleo ya petrol station zenu? Wasio na ajira?? Hizi ni baadhi tu ya kura za hapana. Tukutane 2025
Dingi akoKwa hili jibu sitabishana tena na punguani
% kubwa ni vilaza snNaomba radhi kwa ajili ya walimu wote.
Sio walimu wote vilaza. Ni huyu mtoa mada tu.
Hatari sn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Wabongo mna mihemko ya kipekee sana! Yaani mtu from nowhere anakuja na uzi wake wa "sisi watumishi wa umma...."Hatari sn
Unataka kusema watumishi wote akili zinafanana?Wewe ni mtumishi?
Ni tapeli tu wala hana loloteIla Wabongo mna mihemko ya kipekee sana! Yaani mtu from nowhere anakuja na uzi wake wa "sisi watumishi wa umma...."
Huku akiwa hana orodha, au idadi yoyote ile ya hao watumishi wa umma watakao kwenda na huyu mama hiyo 2025! Akiwa hana ushahidi wowote ule kama na yeye ni sehemu ya hao watumishi wa umma!
Nyinyi mnakurupuka na maneno yenu ya kejeli, matusi, dharau! Huku mkiwashambulia walimu! Sijui wamewakosea nini!
Dah! Nchi ngumu sana hii.
SijuiUnataka kusema watumishi wote akili zinafanana?