The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Kauli yako hii itamponza mwenzio kwahiyo ina maana kura za watu wengine hazihitaji?? Nyie watumishi wa umma msiofika hata milioni moja na kidogo dhidi ya milioni 59?? Hujiulizi sekta binafsi? Umesahau hasira za walionyimwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii? Wamachinga mnao wafukuza kila leo? Bodabda mnaowapandishia petrol kila asubuhi kwa maendeleo ya petrol station zenu? Wasio na ajira?? Hizi ni baadhi tu ya kura za hapana. Tukutane 2025Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama👇👇
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Hayo mengi ni mataahira usiyatilie maanani.Sema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Kwanza kuna maisha magumu kupita kiasi huku kitaaKauli yako hii itamponza mwenzio kwahiyo ina maana kura za watu wengine hazihitaji?? Nyie watumishi wa umma msiofika hata milioni moja na kidogo dhidi ya milioni 59?? Hujiulizi sekta binafsi? Umesahau hasira za walionyimwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii? Wamachinga mnao wafukuza kila leo? Bodabda mnaowapandishia petrol kila asubuhi kwa maendeleo ya petrol station zenu? Wasio na ajira?? Hizi ni baadhi tu ya kura za hapana. Tukutane 2025
Elimu ndiyo imebeba wajinga wengi snHayo ni mataahira usiyatilie maanani.
Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama👇👇
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Hapo umemkuna vizuri na kumpapasa subiri naye akupapaseni.Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Yaan nyie uvccm nenda kachukue book 7 tayari. Na tatzo hili jukwaa hamna watu wenye akili ya propaganda. Halafu niwaulize swali hivi mtu akishakua ccm akili zenu halisi mnapelekaga wapiMoja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loohSema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Wewe sio mtumishi wa Umma komaa na siasa zako nichwara huko.Jisemee wewe!
wivu huu sio kwa povu hili.Katika watu mabogus Duniani ni pamoja na watumishi wa nchi hii.
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app