Isakhamisi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 397
- 455
Kupada bei vitu ni jambo la kawaida wakati wa kikwete mfuko wa saruji ulikuwa shilingi elfu nane, magufuli mfuko ulifika 12000 ni jambo la kawaida bidhaa Kupada bei, lakini la msingi hatua gani serikali inachukuwa, magufuli mungu wenu hakupandisha mshahara, hakupandisha vyeo, hakupunguza makato kwa wafanyakazi alikandamiza mpaka wafanyabiashara na wawekezaji, kwa miaka mitano hakuajiri alikuwa anaengeza wazururaji mabararani kwa jina la machinga.Kufanya huko kuzuri ni kupi mkuu,??
Kipande cha sabuni kufika 1000 badala ya 500 siyo.?
Sema wewe mzanzibar siyo watumishi wa uma ....kwanza mnamtumikia nani zaidi ya kutumikia matumbo yenu ili mkajaze vyooMoja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212113
Hii amani uayoringia kaileta rais samia, hayo matusi mnayomtupia samia wakati wa mungu wenu walikuwa wakimkosea walipotea na wengine kuishia kwenye vipolo wakiokotwa baharini halafu leo mnafunguwa mikundu yenu na kumsema samia, hata bado mtasema sana mpaka mtapasuka mikundu yenu.Una nyege ww fala yan ww nani wa kupangia watu maisha nchi hii?? Amani hii isikufanye ukawashwa kila wakati utakunwa bila mate
mbona wachangiaje wengi hamkubali mawazo yeke?Hayo mengi ni mataahira usiyatilie maanani.
Wengi ni failures, kila kitu wao wakipewa wanaona hisani. Wanaona wamependelewa maana hawakustahili na division four zao.
ChawaMama Samia hoyeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa Mujibu takwimu , watumishi wa serikali ya Tanzania hawazidi laki 6 , wanaccm hai ni mil 6 tu ( wengi wao ni ndugu , chawa , waganga na wapambe wa viongozi ) , hili kundi out of 65mil ndio unalitegemea kukuvusha ,Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212113
Hahahaa naona unaleta mipasho nilijua ni rijali kumbe si rizki hahaaaa kwaheriHii amani uayoringia kaileta rais samia, hayo matusi mnayomtupia samia wakati wa mungu wenu walikuwa wakimkosea walipotea na wengine kuishia kwenye vipolo wakiokotwa baharini halafu leo mnafunguwa mikundu yenu na kumsema samia, hata bado mtasema sana mpaka mtapasuka mikundu yenu.
Una hamu wwKupada bei vitu ni jambo la kawaida wakati wa kikwete mfuko wa saruji ulikuwa shilingi elfu nane, magufuli mfuko ulifika 12000 ni jambo la kawaida bidhaa Kupada bei, lakini la msingi hatua gani serikali inachukuwa, magufuli mungu wenu hakupandisha mshahara, hakupandisha vyeo, hakupunguza makato kwa wafanyakazi alikandamiza mpaka wafanyabiashara na wawekezaji, kwa miaka mitano hakuajiri alikuwa anaengeza wazururaji mabararani kwa jina la machinga.
Huna hoja wacha nilaleHahahaa naona unaleta mipasho nilijua ni rijali kumbe si rizki hahaaaa kwaheri
Huna hoja kwishaUna hamu ww
UlalweHuna hoja wacha nilale
Umebakia na matusi, huna hoja samia amekuwezeni amekutoweni kwenye ujima na udikteta wenye akili wametambuwa na nyinyi mazezeta mtaelewa tu muda c mrefu kwa sababu mlitoka mbali chini ya dikteta wako ulikuwa ukimuabudu wewe na wenzako, mtaelewa tu.Ulalwe
Kwani miaka yote nani alikuwa anatuvusha?Kwa Mujibu takwimu , watumishi wa serikali ya Tanzania hawazidi laki 6 , wanaccm hai ni mil 6 tu ( wengi wao ni ndugu , chawa , waganga na wapambe wa viongozi ) , hili kundi out of 65mil ndio unalitegemea kukuvusha ,
Tuache banaaaUmebakia na matusi, huna hoja samia amekuwezeni amekutoweni kwenye ujima na udikteta wenye akili wametambuwa na nyinyi mazezeta mtaelewa tu muda c mrefu kwa sababu mlitoka mbali chini ya dikteta wako ulikuwa ukimuabudu wewe na wenzako, mtaelewa tu.
Polisi na Tume ya UchaguziKwani miaka yote nani alikuwa anatuvusha?
Saizi polisi na tume hazitakuwepo?Polisi na Tume ya Uchaguzi
Kuna ubaya gani?zamani tukiongea lazima tugeukegeuke kwa jofu na wogaSema utaenda na CCM