Nilishangaa kijiweni kizee cha miaka 70+ kinasema mama sijui kafanyaje,nikasema huyu mzee ana bahati kuwa na mama umri huu kumbe alimaanisha Rais Samia.
Pia Siku ile Sugu anatimiza miaka 30 ya muziki nikasikia Rais anasema we Sugu ni mwanangu, kiukweli Rais hawezi kumzaa Sugu. Sugu ana miaka 50 na Rais ana 61 ?
?the diference is too minimal to call her mother.
You call her mama we call her Sister acheni kumtwika mizigo mizito.kuwa mama wa watanzania wote sio kazi ndogo
Kwanza tunamvunjia heshima kumuita mama tumuite tu Rais