Habari wanajf,
Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi?
Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi.
Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe?
Lakini tunasahau jambo linaweza kukufurahisha na lisiwe sahihi kwa wengine.
Vilevile linaweza lisikufurahishe na likawa sahihi kwa wengine.
Kwa sababu usahihi upo kwa mtazamaji tu( observer effect).
Je Kuna jambo lolote zuri mtu anaweza kufanya lakini lisikufurahishi? -jibu ni hapana kwa sababu mambo yote mazuri lazima ya kufurahishe wewe .
It's all subjective.
Pointi yangu ni kwamba Sisi wote ni wauwaji ,ila sio wote wameuwa.
Sisi wote ni wala rushwa ila sio wote wamekula rushwa.(labda pengine sababu kwa nini wewe hujala rushwa ni kwa sababu hujapata nafasi tu,na itakuwa mbaya kama hujashiriki).
unaweza kuwaona viongozi wanafanya mauaji ,vita na biashara zingine kulinda nafasi zao, ukawaona kama mashetani hata wewe upo hivyo hiyvo sema hujapata nafasi ya kufanya hivyo.