Kila mtu anaweza kufanya makosa kwa sababu zinazojulikana. Sababu kubwa ni ujinga. Kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu; au jambo ambalo ulipaswa kujua lakini hujuiPointi yangu ni kwamba Sisi wote ni wauwaji ,ila sio wote wameuwa.
Sisi wote ni wala rushwa ila sio wote wamekula rushwa.(labda pengine sababu kwa nini wewe hujala rushwa ni kwa sababu hujapata nafasi tu,na itakuwa mbaya kama hujashiriki).
NdiyoYeah sisi wote ni wezi ni vile tu hatujakamatwa!
Hivi huyu jamaa kwenye video,Richard Ramirez “Night Stalker” walishamnyonga?
Shida ni kwamba ujinga wenyewe mpaka ujue ni ujingaKila mtu anaweza kufanya makosa kwa sababu zinazojulikana. Sababu kubwa ni ujinga. Kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu; au jambo ambalo ulipaswa kujua lakini hujui
Kufikiri kwamba watu wote ni wauaji kwa sababu watu wanauliwa, ni wezi kwa sababu watu wanaiba, ni wabaya au waouvu kwa sababu kuna uovu, ni ujinga. Kuhitimisha hivi ni ujinga. Kwa sababu kama mtu mmoja ameshindwa kujifunza au kubadilika kutokana na makosa aliofanya sio kwamba wengine pia hawatajifunza; au kwamba watu wote wapo hivyo.
Ubaya au uovu wowote unatokana na kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu.
Uovu ni asili yetuKumaanisha Nini
Kwamba uovu tuuzoee?
Si umesema uovu ni mtazamo binafsi.Uovu ni asili yetu
Si umesema uovu ni mtazamo binafsi.Uovu ni asili yetu
we are inherently both and neither at timeSi umesema uovu ni mtazamo binafsi.
Kwa kauli hiyo huwezi kusema sote ni waovu ukaishia hapo,labda useme sote ni wema pia.
Mpaka Enlightenment ni mchakato out of that you can play someone's else GAMEWatu hawachukiani ila ni VITA ya mkate .
What they hate from you is what you hold and not YOU. As a person.
Kuua , kuuana na kufanyiana ukatali kuzaliwa umo ,umo ktk harakati za kuusaka MKATE
Unaamishwa huyu mbaya muue , mroge, n.k
Mpaka Enlightenment ni mchakato out of that you can play someone's else GAME.
Mpaka Enlightenment ni mchakato out of that you can play someone's else GAME
Mpaka enlightenment kivipi?