Sisi Yanga suala la Morrison tutakufa na Mtu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana.

Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye anatunyanyasa na kutufanya wote tuonekane ndula tu utopolo? Huyu bwana mdogo hajaifahamu yanga.

kuna watu wanamtia ujinga anaanza kuota mapembe....yanga kaikuta na ataicha angekuwa mchezaji mzuri angekuja sajiliwa huku uswazi?bwege kabisa nyau mbwa kokoliko huyu.

Sisi tumemjenga naye amejengeka sasa anataka kutupanda vichwani? Mimi nasema sisi wanayanga hatutaliacha hili lipite tu.tutalia mpaka kufa na mtu.
 
Utopolo tulieni, mambo yenu mnayafanya kichawi chawi ndio maana umefunguka mlimbebesha hirizi!
Sasa anataka kutua mzigo wa kubebeshwa mauchawi mnamuona mbaya!
...halafu mara ooh, angekuwa mchezaji mzuri asingesajiliwa uswazi, eti mmentengeza!
Kama mlimsajili wakati mkijua ni mbovu mnang'ang'ania wa nini?
Kama alikuwa mbovu mkamtengeza, mnashindwaje kutengeneza waliopo...!?
Mmeshindwaje kumtengeneza Yikpe na Molinga pamoja na wenzao wote...!?
Utopolo mmeishiwa, mlimtimua Manji ona sasa mnavyotibuana!
Mmesaini mkataba sijui laliga, lakini haitowasaidia kitu!
GSM wataishusha hiyo timu daraja...mtakuwa kama Mbao fc, muishie kugawana fito za lile banda pale kaunda!
 
Naona wakati unacharaza hili tope ulikuwa umekalia tako moja.
 
Aisee unayajua umesema...nyau ,mbwa. ...Nini!!?!?!
 
Mtamjenga Ykipe na mahirizi yenu
 
Mlionywa toka awali kuwa huyo jamaa ni tapeli na mwizi mkampaisha sana hadi akawaambukiza ujinga wake wa kushangilia kama mbwa kikojozi. Hadi leo wanayanga mumejaa upuuzi kichwani wa goli lake la tarehe 8. Ngoja awamyooshe,hamkutaka hata kujua background yake. Imekula kwenu anasepa huyo mnabaki kuilamu Simba.
 
Mlimwita mwizi wa magari. Cha ajabu sasa mnamtaka aje kwenu. Mikia hamna lolote. Morrison atachezea Yanga au aondoke Bongo. Mwenye kuamua ni Yanga.
Kama Mo ana hela, akasajili Zambia. Hela zenyewe ni mpaka afanye dhulma.
 
Mlimwita mwizi wa magari. Cha ajabu sasa mnamtaka aje kwenu. Mikia hamna lolote. Morrison atachezea Yanga au aondoke Bongo. Mwenye kuamua ni Yanga.
Kama Mo ana hela, akasajili Zambia. Hela zenyewe ni mpaka afanye dhulma.
Huyo haji Simba bali alitumia jina la Simba ili kucheza na akili zenu akijua nyie ni vilaza , yule ni mhuni anaondoka kurudi South,ila anawacheza shere baada ya kugundua kuwa menejimenti ya Yanga wote ni zero brain. Hatuchukui wahuni kwani hata angekuja huku angeendeleza utapeli wake, ila amewaweza kweli.
 
Unateseka kwani?
 
Mlimwita mwizi wa magari. Cha ajabu sasa mnamtaka aje kwenu. Mikia hamna lolote. Morrison atachezea Yanga au aondoke Bongo. Mwenye kuamua ni Yanga.
Kama Mo ana hela, akasajili Zambia. Hela zenyewe ni mpaka afanye dhulma.
Kuna mwingine Zambia Kama triple C tumfuate!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…