Sisi Yanga suala la Morrison tutakufa na Mtu

Sisi Yanga suala la Morrison tutakufa na Mtu

Kuna mwingine Zambia Kama triple C tumfuate!?
Triple C hana soko Zambia. Ni star Bongo kama Okwi. Wakienda kwenye mpira wenye nidhamu wanachemsha. Bongo wanalelewa ni wafalme. Hata akichelewa ni poa tu.
 
Simba hii wenzetu hawana mchezo. Sisi morrison anatugeuza geuza tu

Triple C hana soko Zambia. Ni star Bongo kama Okwi. Wakienda kwenye mpira wenye nidhamu wanachemsha. Bongo wanalelewa ni wafalme. Hata akichelewa ni poa tu.
 
Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana.

Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye anatunyanyasa na kutufanya wote tuonekane ndula tu utopolo? Huyu bwana mdogo hajaifahamu yanga.

kuna watu wanamtia ujinga anaanza kuota mapembe....yanga kaikuta na ataicha angekuwa mchezaji mzuri angekuja sajiliwa huku uswazi?bwege kabisa nyau mbwa kokoliko huyu.

Sisi tumemjenga naye amejengeka sasa anataka kutupanda vichwani? Mimi nasema sisi wanayanga hatutaliacha hili lipite tu.tutalia mpaka kufa na mtu.
Wewe siyo Yanga
 
Triple C hana soko Zambia. Ni star Bongo kama Okwi. Wakienda kwenye mpira wenye nidhamu wanachemsha. Bongo wanalelewa ni wafalme. Hata akichelewa ni poa tu.
Huwa wakiitwa timu zao za Taifa wanaitwa kuwa Madaktari wa timu au !?
 
Back
Top Bottom