Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu.
Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios. Hamtuwezi. Mkienda Wasafi, Clouds, TBC, Radio one, EFM huko kote tumekamata waandishi. Uwezo wa kuwalipa tunao hata wachambuzi pia.
Kifupi mikia hamtuwezi sisi kwa propaganda tunajua kutumia waandishi.
Mikia hamna kitu. Tunawapiga gap pakubwa. Ngoja muone jersey zetu ambavyo zitasifiwa kuliko zenu zile upupu.
Sisi hata tukiandaa magunia tukawaambia wachambuzi, watangazaji au waandishi waziuze watauza sana.