KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Vitamin B nilikuwa nakunywa ila wapUnaupungufu wa vitamin C. Kula matunda yenye uchachu kama machungwa, mananasi n.k
Pia unaweza kunywa dawa ya Vitamin B complex...
Hivi vyote vitakusaidia kuongeza appetite ya chakula...
Sina broUna Stress
Hella c tatizoHuna hela.Period.
unaumwa kutokujisikia ham ya kulaHabari zenu wakuu
Naimani kila moja anaendelea na maisha yake vzri
Nina tatizo la kutosikia ham ya kula na kukinai vyakula mapema. Somtyms naweza ata vukisha siku bila kula na njaa nisisikie. Mwenye kujua hili tatizo either limemtokea yeye au mtu wake wa karbu naomba anieleze njia sahihi ya kuliovercome. Maana inafika wakati ukiwa unakula unajiuliza ndo hivi maishan kwangu kote itakuwa
Sina vidonda vya tumbo na nahofia kuvipata
Basi onana na psychologist bei za ni nafuu atakushauriHella c tatizo
Shida ni kuwa jeshin nilikuwa na ham ya kulaKunywa multiple vitamin
Muda gani mpaka sasa huna hamu ya kulaShida ni kuwa jeshin nilikuwa na ham ya kula
Miaka mingi2 sahv naona nazidi2Muda gani mpaka sasa huna hamu ya kula
Kwa kuanzia,kama hutajali unaweza kutupatia data zako binafsi za kiafya kama: umri,jinsia, urefu,uzito,kiuno na ulaji wako?Sina bro