Sisikii hamu ya kula na siumwi chochote, tiba ni nini?

Kabla sijakushauri ningependa kujua kama una haja ya kuongeza uzito,kupunguza au kumentaini maana unaweza kutibiwa kukosa hamu ya kula wakati hiyo ndio tiba stahili. Kuna watu wanahangaika na kutumia madawa ghali ili kupunguza hamu ya kula.
 
Mimi nilikuaga hivo..
nikatibiwa kwa machungwa ,Maziwa na mchicha... (vitamin c)
ikaisha yakabaki mawazo... nikawa na mawazo namuwaza mpenzi hanipendi!...
ile hali ya kutokula inafanya utumbo ujikunje ,kwahiyo unakua unaweza kumudu kutokula....
cha kufanya ni kujialzimisha kula hata Kama hutaki, utumbo ukishatanuka ,basi utakua unakula kila siku
 
Af nahisi hii ndo sababu maana nikijilazmisha nakuwa namudu kwa mda then hali inajirudia
 
jibu ni kitanua utumbo, jenga hali ya kupenda kula..... unakula nusu sahani Leo ,kesho unaongeza inajaa ...
mimi nilikuaga Kama kijiti nilivokonda...
sasa hivi utanitaka, chura inaonekana nakula hatari!
halafu hata nikiwa na mawazo, nikianza kula najiambia, katika kula sipendi ujinga, mawazo toka nikimaliza kula ntaendelea kiwaza....
kwahiyo unakuta nakula vizuri ,nikimaliza naendelea kuwaza.....
usipende ujinga kwenye.kula. sema na nafsi yako.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Et chura hatar
 
jibu ni kitanua utumbo, jenga hali ya kupenda kula..... unakula nusu sahani Leo ,kesho unaongeza inajaa ...
mimi nilikuaga Kama kijiti nilivokonda...
sasa hivi utanitaka, chura inaonekana nakula hatari!
halafu hata nikiwa na mawazo, nikianza kula najiambia, katika kula sipendi ujinga, mawazo toka nikimaliza kula ntaendelea kiwaza....
kwahiyo unakuta nakula vizuri ,nikimaliza naendelea kuwaza.....
usipende ujinga kwenye.kula. sema na nafsi yako.
Nitafanya hvyo mkuu
 
Ukiamka asubuhi kabla hujala chochote chukua glass moja ya maji ya moto changanya na asali vijiko vikubwa viwili au vitatu koroga then kunywa itakusaidia...
 
Ss ww huon kama umebana matumiz maana tumbo ndio linatia hasara
 
Ukiamka asubuhi kabla hujala chochote chukua glass moja ya maji ya moto changanya na asali vijiko vikubwa viwili au vitatu koroga then kunywa itakusaidia...
Nitajaribu mkuu
Cku c nyingi nitajaribu
 
Back
Top Bottom