Sisikii hamu ya kula na siumwi chochote, tiba ni nini?

Sisikii hamu ya kula na siumwi chochote, tiba ni nini?

Kilo 66!
Mimi nimepoteza hamu ya kula tangu 2012 baada ya sherehe ya kidato cha sita, tangu hapo sina hamu ya kula na uzito wangu ni kg 55
Ndio mkuu mimi mifupa ndo mizito
Ila sahv najitaidi kujilazmisha kula naona progress
 
Kilo 66!
Mimi nimepoteza hamu ya kula tangu 2012 baada ya sherehe ya kidato cha sita, tangu hapo sina hamu ya kula na uzito wangu ni kg 55
Mi nilipoteza hamu ya kula tangu 2012 nilipokuwa chuo na tangu mda ule uzito wangu ni kilo 60 mwaka jana kidogo niliongezeka kilo mbili ila mwaka huu zimerudia tena 60. Niwe mzima au mgonjwa kilo ni 60 au 61 tu.

Natamani sana kula chakula kingi lakini wapi! Nikimeza dawa za vitamini nakuwa nakula mda huo natumia lakini baada ya kumaliza hamu inapotea tena!

Yaani kwangu kula ni non priority kabisa japo hela ya kula si tatizo hata kidogo!

Ila natamani sana kula ila hamu ndio inakuwa kikwazo!
 
Mi nilipoteza hamu ya kula tangu 2012 nilipokuwa chuo na tangu mda ule uzito wangu ni kilo 60 mwaka jana kidogo niliongezeka kilo mbili ila mwaka huu zimerudia tena 60. Niwe mzima au mgonjwa kilo ni 60 au 61 tu...
Jitaidi ule chakula cha asubuhi daily
 
Yaan tatizo kama langu sometimes najilazimisha naishia kujaza chakula mdomon tuu. Hamu haipo kabistable d nimepata vidonda vya tumbo
 
Nunua abitol vidonge ni multi vitamini mm leo na siku ya nne nasikia njaa muda wote na nafukia si kitoto kumi vinauzwa 1000 tu pia waweza nunua pharmactin ya maji ina picha ya mtoto anacheza mpira sijui kwa sasa 4000 utasikia njaa mwenyewe
 
Asante ngoja na Mimi niende pharmacy Sasa hivi maana Hali si Hali.
 
Kilo 66!
Mimi nimepoteza hamu ya kula tangu 2012 baada ya sherehe ya kidato cha sita, tangu hapo sina hamu ya kula na uzito wangu ni kg 55
Hili tatizo nilidhani niko peke yangu. Hii thread imenifumbua macho. Nilikuwa naitupia lawama K Vant kumbe ni janga la kitaifa

Nakuomba radhi kipenzi changu K Vant. Naahidi leo nitafanya mapenzi na wewe mpaka nizimie

Cc princess ariana na chura yako
 
😂😂😂😂😂😂nchi hiii
 
Habari zenu wakuu,

Nina imani kila moja anaendelea na maisha yake vizuri.

Nina tatizo la kutosikia hamu ya kula na kukinai vyakula mapema. Sometimes naweza hata kuvukisha siku bila kula na njaa nisisikie.

Mwenye kujua hili tatizo either limemtokea yeye au mtu wake wa karbu naomba anieleze njia sahihi ya kuliovercome. Maana inafika wakati ukiwa unakula unajiuliza ndo hivi maishani kwangu kote itakuwa?

Sina vidonda vya tumbo na nahofia kuvipata..
Piga Gym la kutosha. Kimbia beba weights afu ukirudi nyumbani wife akupe zoezi. Usipokula ww utakuwa ni mfu
 
Hili tatizo nilidhani niko peke yangu. Hii thread imenifumbua macho. Nilikuwa naitupia lawama K Vant kumbe ni janga la kitaifa

Nakuomba radhi kipenzi changu K Vant. Naahidi leo nitafanya mapenzi na wewe mpaka nizimie

Cc princess ariana na chura yako
Hahaha
 
Back
Top Bottom