damian marijani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2010
- 695
- 466
Af nahisi hii ndo sababu maana nikijilazmisha nakuwa namudu kwa mda then hali inajirudiaMimi nilikuaga hivo..
nikatibiwa kwa machungwa ,Maziwa na mchicha... (vitamin c)
ikaisha yakabaki mawazo... nikawa na mawazo namuwaza mpenzi hanipendi!...
ile hali ya kutokula inafanya utumbo ujikunje ,kwahiyo unakua unaweza kumudu kutokula....
cha kufanya ni kujialzimisha kula hata Kama hutaki, utumbo ukishatanuka ,basi utakua unakula kila siku
jibu ni kitanua utumbo, jenga hali ya kupenda kula..... unakula nusu sahani Leo ,kesho unaongeza inajaa ...Af nahisi hii ndo sababu maana nikijilazmisha nakuwa namudu kwa mda then hali inajirudia
Nimetafuna ila hamna mabadrikoUnaminyoo wewe katafute Dawa kwanza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]jibu ni kitanua utumbo, jenga hali ya kupenda kula..... unakula nusu sahani Leo ,kesho unaongeza inajaa ...
mimi nilikuaga Kama kijiti nilivokonda...
sasa hivi utanitaka, chura inaonekana nakula hatari!
halafu hata nikiwa na mawazo, nikianza kula najiambia, katika kula sipendi ujinga, mawazo toka nikimaliza kula ntaendelea kiwaza....
kwahiyo unakuta nakula vizuri ,nikimaliza naendelea kuwaza.....
usipende ujinga kwenye.kula. sema na nafsi yako.
Wananishauri ninye vitamin bBasi onana na psychologist bei za ni nafuu atakushauri
Nitafanya hvyo mkuujibu ni kitanua utumbo, jenga hali ya kupenda kula..... unakula nusu sahani Leo ,kesho unaongeza inajaa ...
mimi nilikuaga Kama kijiti nilivokonda...
sasa hivi utanitaka, chura inaonekana nakula hatari!
halafu hata nikiwa na mawazo, nikianza kula najiambia, katika kula sipendi ujinga, mawazo toka nikimaliza kula ntaendelea kiwaza....
kwahiyo unakuta nakula vizuri ,nikimaliza naendelea kuwaza.....
usipende ujinga kwenye.kula. sema na nafsi yako.
ndio[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Et chura hatar
Kama chura ipo[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]ndio[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hainashida mkuumkuu vipi toilet unapata fresh au ndo napo magumashi?
Kubana kwingine kunaua broSs ww huon kama umebana matumiz maana tumbo ndio linatia hasara
Nitajaribu mkuuUkiamka asubuhi kabla hujala chochote chukua glass moja ya maji ya moto changanya na asali vijiko vikubwa viwili au vitatu koroga then kunywa itakusaidia...