Sisikii hamu ya kula na siumwi chochote, tiba ni nini?

Ulianzajeanzaje
Yaan uliovercom kiaje??? Apo ndo kunashida ariana
kwanza mapenzi yako yote hamishia kwenye chakula.
usifanye kula mama option
fanya kula kama kitu muhimu!
chagua unavyovipenda kula, jipimishe; leo umekula chips mayai hujamaliza kesho kazana umalize!
keshokutwa ongeza na ndizi...
yani unafanya kuutanua utumbo.
unautanua kiasi unachotaka, ukishatanuka njaa inakuja yenyewe!
jenga mazoea ya kula ...
wakati unakula usilete mawazo ya ajabu ajabu waza kula. maana unakula unaanza kuwaza baby kanijibu vibaya ,nadaiwa ,ukila sema ngoja nile ntawaza baadae
kula kuwe priority no1
fanya chakula kama dawa unayoinywa kutwa mara3 usipokunywa utakufa.
utaweza...

kama huwezi unashindwa ukiwa cafe niite ntakufundisha vizuri[emoji41][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Nilikuwa na tatizo kama hilo sijui kama limeisha lkn sasa sahani ya mama nitilie sibakishi na chapati mbili namaliza fasta zamani hata moja ilikuwa issue tena ikitokea nimepewa kubwa nakasilika.
Kipindi cha nyuma nilikuwa natumia asali kwenye chai asubuhi kabla ya kwenda ofisini. Ikifika saa sita naacha chochotninachofanya maana amani tumboni inakosekana na ikifika saa kumi lazima nipate bite lkn nilikuwa nakula sana nikitumia asali tu na si vinginevyo.
Sasa hivi asubuhi naenda kupata chapati mbili asubuhi nachukua na maji lita moja na nusu ikifika saa nane naenda kula na chakula nipewacho kitaisha dakika tu.
 
Hahahahaha aya bna
Naona sahv adi kachura unako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha aya mkuu nitajaribu na hili
Ila hujanambia kiasi nipaswacho kuweka kwenye maji au chai
 
Get to the pharmacy buy NAT B dosage uwe unameza usiku tu, kidonge kimoja,
 
[emoji4] [emoji4] chura yupo kweli?
 
Kilo 66!
Mimi nimepoteza hamu ya kula tangu 2012 baada ya sherehe ya kidato cha sita, tangu hapo sina hamu ya kula na uzito wangu ni kg 55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…