KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
- Thread starter
-
- #81
Ndio mkuu mimi mifupa ndo mizitoKilo 66!
Mimi nimepoteza hamu ya kula tangu 2012 baada ya sherehe ya kidato cha sita, tangu hapo sina hamu ya kula na uzito wangu ni kg 55
Mi nilipoteza hamu ya kula tangu 2012 nilipokuwa chuo na tangu mda ule uzito wangu ni kilo 60 mwaka jana kidogo niliongezeka kilo mbili ila mwaka huu zimerudia tena 60. Niwe mzima au mgonjwa kilo ni 60 au 61 tu.Kilo 66!
Mimi nimepoteza hamu ya kula tangu 2012 baada ya sherehe ya kidato cha sita, tangu hapo sina hamu ya kula na uzito wangu ni kg 55
Jitaidi ule chakula cha asubuhi dailyMi nilipoteza hamu ya kula tangu 2012 nilipokuwa chuo na tangu mda ule uzito wangu ni kilo 60 mwaka jana kidogo niliongezeka kilo mbili ila mwaka huu zimerudia tena 60. Niwe mzima au mgonjwa kilo ni 60 au 61 tu...
jaribu kula asali na mdalasini chnganya utapata njaaHabari zenu wakuu,
Nina imani kila moja anaendelea na maisha yake vizuri...
Asante ngoja na Mimi niende pharmacy Sasa hivi maana Hali si Hali.Nunua abitol vidonge ni multi vitamini mm leo na siku ya nne nasikia njaa muda wote na nafukia si kitoto kumi vinauzwa 1000 tu pia waweza nunua pharmactin ya maji ina picha ya mtoto anacheza mpira sijui kwa sasa 4000 utasikia njaa mwenyewe
Hili tatizo nilidhani niko peke yangu. Hii thread imenifumbua macho. Nilikuwa naitupia lawama K Vant kumbe ni janga la kitaifaKilo 66!
Mimi nimepoteza hamu ya kula tangu 2012 baada ya sherehe ya kidato cha sita, tangu hapo sina hamu ya kula na uzito wangu ni kg 55
ni mwezi sasa nina tatizo la kutopata njaa kama ndugu yangu sijui ni dalili za nini.
ππππππnchi hiiiHili tatizo nilidhani niko peke yangu. Hii thread imenifumbua macho. Nilikuwa naitupia lawama K Vant kumbe ni janga la kitaifa
Nakuomba radhi kipenzi changu K Vant. Naahidi leo nitafanya mapenzi na wewe mpaka nizimie
Cc princess ariana na chura yako
Piga Gym la kutosha. Kimbia beba weights afu ukirudi nyumbani wife akupe zoezi. Usipokula ww utakuwa ni mfuHabari zenu wakuu,
Nina imani kila moja anaendelea na maisha yake vizuri.
Nina tatizo la kutosikia hamu ya kula na kukinai vyakula mapema. Sometimes naweza hata kuvukisha siku bila kula na njaa nisisikie.
Mwenye kujua hili tatizo either limemtokea yeye au mtu wake wa karbu naomba anieleze njia sahihi ya kuliovercome. Maana inafika wakati ukiwa unakula unajiuliza ndo hivi maishani kwangu kote itakuwa?
Sina vidonda vya tumbo na nahofia kuvipata..
HahahaHili tatizo nilidhani niko peke yangu. Hii thread imenifumbua macho. Nilikuwa naitupia lawama K Vant kumbe ni janga la kitaifa
Nakuomba radhi kipenzi changu K Vant. Naahidi leo nitafanya mapenzi na wewe mpaka nizimie
Cc princess ariana na chura yako