Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 988
- 2,303
Je umeshawai kuiona movie ya Titanic ya mwaka 1997 ??
Bila shaka baada yakuiona hiyo picha hapo juu,, jibu ni ndiyo na kama bado unaweza kuitafuta sasa kwenye site mbalimbali na kuitazama movie ya kipekee kabisa ,, sasa basi mwanzoni kabisa mwa movie hii iliyongozwa na director bora kabisa wa muda wote bwana James Cameron inaanza na sound track fulani hivi ya mwanadada mwenye vocal nzuri sana ikiitoa kwa hisia sana
Je umeshawahi kujiuliza mwanadada huyu ni nani ??
Wengi wetu tulidhani mwanadada huyu ni celine dione ,, hii ni kutokana na wimbo wake wa " my hear will go on ,," ambao pengine ulitungwa mahususi kabisa kuendana na matukio na visa mbali mbali vilivyoweza kuonekana ndani ya movie ya Titanic ..
Lakini ukweli ni kuwa mwanadada unayemsikia ndani ya sound track hii hakuwa celine dione ... Mwanadada huyu anajulikana kwa jina la SISSEL KYRKJEBO ,, raia wa norway ambaye alizaliwa mwaka 1969 ,,, mpaka sasa anamiaka 56 na ni
Maarufu kwa kufanya
- classic vocal
Kama hii uliyoisikia kwenye movie ya Titanic
Lakini pia kafanya pia kwenye wimbo wa you raised me up unaweza kumcheck you tube
- lakini pia anafanya aina nyingine za music kama vile pop
Bado ,, haijafahamika kwanini mwanadada huyu hazungumziwa wala hapewi credit za kutosha hasa katika kile alichokifanya katika movie ya Titanic baada ya kutupatia classic vocal moja hatari ambayo mpaka sasa inapelekea maelfu ya watu kutoa machozi pindi waitazamapo movie ya Titanic ..