🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Waliitwa
Titanic musicians
Katika ajali ya kweli walikuwa 8 ila kwenye ile movie nadhani waliwaonesha wa 5 kama sikosei ,,
Majina yao ni kama ifuatavyo
1) wallance hartley (Band master )
2)william Brailey ( pianist )
3) percy Talyor ( cellist )
4)Georges krins ( violinist )
5) Roger Bricolls ( cellist )
6) John clarke ( cellist )
7) john Hume ( cellist )
8) john woodward ( cellist )
Lengo kuu la kuwepo katika meli ile ilikuwa ni kuwapa burudani abiria hasa wa daraja la kwanza ( first class passengers )
Lakin usiku wa 15 baada ya meli kuwa imegonga mwamba wa barafu ( iceberg ) na kufahamika kuwa meli ya Totanic itazama baada ya masaa mawili au matatu yajayo ,, captain aliwapa amri waendelee kupiga music ili kuwatuliza watu wasipanic hasa pale habari za kuwa meli ya titanic ( the unsinkable ) inatalajiwa kuzama , zitakapoanza kusambaa kwa watu mbali mbali waliomo ndani ya meli
Kuonesha commitment yao katika kazi yao waliendelea kupiga music wakiamini muzic wao uliwatuliza watu
Nyimbo za mwisho kabisa ambazo walipiga mpaka boat ya 12 ambayo ndiyo ilikuwa boat ya mwisho kuondoka katika meli ya Titanic
Ni
- near
- my god to thee hii waliipiga pindi meli ilipoanza kuzama chini
Wote nane (8) walikufa ,, ila ni watatu ndiyo miili yao iliweza kupatikana na kutambuliwa
View attachment 3318491
These people showed a strong courage and dedication to what they were doing .