Sissel kyrkjebo muimbaji ambaye wengi wanaijua tu sauti

Mmea Jr

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Posts
988
Reaction score
2,303
Je umeshawai kuiona movie ya Titanic ya mwaka 1997 ??




Bila shaka baada yakuiona hiyo picha hapo juu,, jibu ni ndiyo na kama bado unaweza kuitafuta sasa kwenye site mbalimbali na kuitazama movie ya kipekee kabisa ,, sasa basi mwanzoni kabisa mwa movie hii iliyongozwa na director bora kabisa wa muda wote bwana James Cameron inaanza na sound track fulani hivi ya mwanadada mwenye vocal nzuri sana ikiitoa kwa hisia sana


Your browser is not able to play this audio.
Je umeshawahi kujiuliza mwanadada huyu ni nani ??

Wengi wetu tulidhani mwanadada huyu ni celine dione ,, hii ni kutokana na wimbo wake wa " my hear will go on ,," ambao pengine ulitungwa mahususi kabisa kuendana na matukio na visa mbali mbali vilivyoweza kuonekana ndani ya movie ya Titanic ..

Lakini ukweli ni kuwa mwanadada unayemsikia ndani ya sound track hii hakuwa celine dione ... Mwanadada huyu anajulikana kwa jina la SISSEL KYRKJEBO ,, raia wa norway ambaye alizaliwa mwaka 1969 ,,, mpaka sasa anamiaka 56 na ni

Maarufu kwa kufanya

- classic vocal
Kama hii uliyoisikia kwenye movie ya Titanic
Lakini pia kafanya pia kwenye wimbo wa you raised me up unaweza kumcheck you tube

- lakini pia anafanya aina nyingine za music kama vile pop

Bado ,, haijafahamika kwanini mwanadada huyu hazungumziwa wala hapewi credit za kutosha hasa katika kile alichokifanya katika movie ya Titanic baada ya kutupatia classic vocal moja hatari ambayo mpaka sasa inapelekea maelfu ya watu kutoa machozi pindi waitazamapo movie ya Titanic ..
 
Titanic movie.


Wale Wanamuziki ndio walionipa maswalii mengi na Ajabu ya mshangao.

Wanamuziki wale waliokuwa wanatumbuiza huku Meli ikizama na Watu wakimbia huku na huku na vilio vya hofu.

Walikuwa wanatambuiza bila mashaka wala wasi wasi, ilifurahisha na kushangazaa sana.
 
Labda mwanadada huyo Mkataba Wake ulikuwa na vigezo,

Labda wamemchinjia baharini (don't give a ***, don't Care)

Labda anadamu ya kunguni..

Labda zimekuwa nyingi sana.

Anyway Filamu ya titanic, ilikuwa PoA.

Congrats , kwa washiriki na waandaaji wotee.
 

Nilikuwa nikimsikia miaka mingi Wife akisikiliza na nilijua ni Mtu wa Scotland na anaimba lugha ya Gaelic.
Nyumbani kuna CDs kadhaa za huyu Mama ingawa mimi siyo mpenzi wa hizi Pop Opera kivileee.
Napenda baadhi ya nyimbo na hasa Mwana Mama Sarah Brightman kwenye nyimbo alizotungiwa na Ex Husband wake Andrew Lloyd Webber Kama All I Ask of You na Time To Say Goodbye akiwa na Andrea Bocelli.
Sissel ana sauti safi ila ni Kama alikosa Mtu wa kumwandikia nyimbo za kumtoa kimataifa zaidi na zaidi.
 
Maana kuna vishetani vidogo vidogo vinavyojifanya wao malaika vitakuja hapa na mbwembwe za mahubiri ya kuacha pombe na bla bla bla blaaaa km walikusaidia kutafuta vile
Wanywa Pepsi wana matatizo, Kazi kutusema wanywa beer 🍺 ...
 
Sijaiona hiyo movie mkuu
Naipataje
 
Sijaiona hiyo movie mkuu
Naipataje
Mh, mbona ya kitambo sana Toka 1997.

Miaka ya Alfumbili mwanzoni nadhani ndio ilipata umaaarufu sana maeneo mengi ya Tanzania.

Kwa sasa sio mpenzi sana kutazama wa filamu/movie mbali mbali.

Ni ngumu kutambua site, au njia ya kuitazama Tena Kwa zama hizi,

Nimeitazama kipindi cha Kanda za tofalii/VHS kama nipo sahihi.
 

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Waliitwa

Titanic musicians

Katika ajali ya kweli walikuwa 8 ila kwenye ile movie nadhani waliwaonesha wa 5 kama sikosei ,,
Majina yao ni kama ifuatavyo

1) wallance hartley (Band master )

2)william Brailey ( pianist )

3) percy Talyor ( cellist )

4)Georges krins ( violinist )

5) Roger Bricolls ( cellist )

6) John clarke ( cellist )

7) john Hume ( cellist )

8) john woodward ( cellist )

Lengo kuu la kuwepo katika meli ile ilikuwa ni kuwapa burudani abiria hasa wa daraja la kwanza ( first class passengers )

Lakin usiku wa 15 baada ya meli kuwa imegonga mwamba wa barafu ( iceberg ) na kufahamika kuwa meli ya Totanic itazama baada ya masaa mawili au matatu yajayo ,, captain aliwapa amri waendelee kupiga music ili kuwatuliza watu wasipanic hasa pale habari za kuwa meli ya titanic ( the unsinkable ) inatalajiwa kuzama , zitakapoanza kusambaa kwa watu mbali mbali waliomo ndani ya meli

Kuonesha commitment yao katika kazi yao waliendelea kupiga music wakiamini muzic wao uliwatuliza watu


Nyimbo za mwisho kabisa ambazo walipiga mpaka boat ya 12 ambayo ndiyo ilikuwa boat ya mwisho kuondoka katika meli ya Titanic
Ni
- near

- my god to thee hii waliipiga pindi meli ilipoanza kuzama chini


Wote nane (8) walikufa ,, ila ni watatu ndiyo miili yao iliweza kupatikana na kutambuliwa

These people showed a strong courage and dedication to what they were doing .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…