Sister Fey dish limeyumba na anahitaji msaada? Wako wapi ndugu zake?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Goo morning wana Jf!
Watanzania huwa tunatabia ya kuwaongezea ugonjwa wagonjwa..Yaani mtu anaweza akawa anaugua kabisa na dalili zote tunaziona lakini ndio kwanza tunaendelea kumgeuza kiburudisho au kivutio..

Huyu Mama anaye jiita Sister Fei ni mgonjwa kabisa na ana hitaji msaada kabisa na kinacho shangaza badala ya kumsaidia watu wana mgeuza kivutio au kituko...Bado najiuliza watoto wa huyu Mama wako wapi kumsaidia Mama yao hata kumpeleka hospitali?
Ndugu wa huyu Mama wako wapi kumsaidia ndugu yao anaugua kabisa?
Ndugu wa huyu kijana anayeonekana na mgonjwa wako wapi kumshauri wampeleke hospitali?
Wazazi wa huyu kijana wako wapi?

Huyu Mama anahitaji msaada asaidiwe haraka.

Muda huongea lakini ukweli ni kwamba huyu Mama anaumwa kabisa ni muda utathibitisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naamini anaumwa kabisa sema kwa sasa wengi watadhani ni mahaba
 

Wew unapimaga madishi?Mbona lako limeanguka hatusemi...


Mwenzio hiyo ndo kazi yake wew unapata wivu...(kuwa makini wanaume hawako namna hii)
 

Unapendezea sana ukijikita kwenye hizi mada za udaku!! Doh ndo unatumia simu cheap kiasi hiko? Hizi nguvu unazotumia kuwafwatilia akina fei uzitumie kutengeneza maisha yako we changuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…