Sisu ni moja Movie Bora 2023

Hahaa.. acha vituko wewe. Mimi SISU nimeiangalia mara moja tu ila hii Extraction nairudia kila baada ya siku kadhaa.
 
Hahaa.. acha vituko wewe. Mimi SISU nimeiangalia mara moja tu ila hii Extraction nairudia kila baada ya siku kadhaa.
Napenda visa vipya siyo visa vya kurudia mule mule yaani huyu katekwa huyu kaokolewa, huyu mchokozi huyu akamuokoa na mapenzi juu, yaani unaangalia movie na wanafamilia roho iko juu juu ukiofia kuna scene ya mapenzi itaonekana humo.
 
Napenda visa vipya siyo visa vya kurudia mule mule yaani huyu katekwa huyu kaokolewa, huyu mchokozi huyu akamuokoa na mapenzi juu, yaani unaangalia movie na wanafamilia roho iko juu juu ukiofia kuna scene ya mapenzi itaonekana humo.
Kumbe bado hujaiangalia Extraction. Mazitafute zote 1&2 utakuja hapa kuniambia.
 
Hahaha, yaani unazungumzia Extraction ipi, 1 or 2?

Extraction ya Starring mmoja kupiga jela nzima?

Zote SISU na EXTRACTION zina Uongo mwingi ila SISU inacapture mindset ya movie watchers zaidi

RAMBO ya Sylvester Stallone nzuri ni First Blood ya 1985 & 1988
 
hii nzuri ila uongo mwingi ila utaipenda
 
Hii movie hata Mimi nimeikubali, nilicheka Sana pale sisu alipomshushia kipondo yule Askari mwenye uchu wa kuuwa.
 
Umemwambia kwamba ogopa sana kupambana na komando tena ukaongezea ambaye hana cha kupoteza je anajua komando ana quality gani au anamjua kupitia movie tu?
 
Mimi nawaambia ukichoshwa na movie za stori kujirudia itafute hii ni movie inayokupatia ujasiri wa kupambania haki yako kivyovyote vile afe kipa afe beki...😋😋😋
 
Jamaa Lina bahati lilibe hanged lakini likanusulika lilipigwa mabomu likapona yaan Lina roho ya Paka.....
 
Overrated,hamna movie mle(rate4/10)[emoji23][emoji2772]
 
Ile movie ina mapungufu ambayo yameifanya kuwa ya kishamba wakati ilikuwa ni story nzuri tu ya kikomando. Yaani mimi katika scale ya 1 hadi 10 naipa 2 sababu ya makosa ya kiufundi na kiuhalisia ya director...
Sisu maana yake waliitafsiri ni Ile Hali ya kukosa tumaini, na ukiwa huna Cha kupoteza tena , Kisha unaamua kusonga mbele kwenye lengo lako. Ukiwa huna Cha kupoteza, bhasi unaweza kufanya mambo ya ajabu makubwa yasiyo ya kawaida .

Wale wadada kwenye gari mmoja alisema kuwa yule ni binadam wa kawaida kabisa ila amepoteza kilakitu vitani, na sasa amerudi kwaajili ya kuwafyeka wote.

Possibility ya kupona katikati ya shida ngumu Huwa ipo, na hasa ikitegemea utimamu wa akili na moyo.

Na hivyo ndivyo makomando wamefunzwa.. na kujitofautisha na wanajeshi wengine.

Wapo watu wamepona kwenye mazingira magumu ambayo katika Hali ya kawaida haiwezekan lakini wakati mwingine Sheria ya asili, huamua kuwa UPANDE wa mtu kunusuri maisha yake , na hapo ndipp nafasi ya MUNGU , pia hufamya kazi .
 
Movie mbov sana uhalisia zero nimejuta kuitazama
 
Ni nzr hata na mama mkwe mnaangalia na inaeleweka hahaaaa ila kuna uwongo wa mwendo kasi.....Sema nilitokea kuipenda hivyohivyo....nimeirudia zaidi ya mara 2......kuna mahala ati mzee aliingia chini ya gari iliyokuwa kwenye movement ili asionwe na mbwa wa ulinzi,kurukia na kutoboa ndege kwa chini na sururu baadaye anaingia ndani ya ndege......physics yangu ya kayumba na chuo zote zimekataa,....kujiwasha moto akikwepa mbwa kumsogelea kuua wanajeshi akiwa chini ya maji....viko viiiingi nno.
 
Hapo ungezea na Jason Bourne na Wrath of a man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…