AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Ni balaa lile dude. Sema alichapika km VAN DAME
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mkali, nimeangalia movie yote kupitia analysis yako hapa 🫡Ile movie ina mapungufu ambayo yameifanya kuwa ya kishamba wakati ilikuwa ni story nzuri tu ya kikomando. Yaani mimi katika scale ya 1 hadi 10 naipa 2 sababu ya makosa ya kiufundi na kiuhalisia ya director.
1. Kuna ile scene yule Sisu alikuwa na farasi wake kwa bahati mbaya akaingia eneo lenye Mabomu ya ardhini, baada ya wale jamaa kumjia lile eneo moshi ukawa hauishi, sikuelewa kwann director alifanya ule "ubongo movie pale".
Hivi inawezekana kweli watu msimame umbali usiopungua hata mita 10 halafu huyu mtu eneo lake tu ndio limetanda moshi hamuoni kitu chochote na jamaa wanasilaha kali wangeza mlenga na kumaliza kazi?
Kuna kipande anafanikiwa kutoroka anaingia chini ya maji kwenye mto, maadui wakiwa ng'ambo moja anawamaliza kwa kuwavuta ndani ya maji kutokea wao maadui wakiwa wanamfuata ndani ya maji yeye akiwa katulia tu chini anawasubiria.
Kiuhalisia yule jamaa alikuwa anakimbizwa, so mapafu yake yatakuwa yamesuphocate oxygen atakuwa anahitaji kukaa open space yenye hewa safi avute hewa, jamaa kazama chini ya maji, huku mapigo ya moyo yakiwa juu halafu katulia how is that possible, okay tuseme inawezekana sababu alijitrain, haya kuna muda akatoka kwenye maji akajitwisha mwili wa askari aliyeuwawa na yule adui kuu sababu ya kumsaidia kuvuka na boti kwenda ng'ambo ya pili, jamaa ajajitwisha mwili ili kujikinga na risasi ambazo zinamiminwa tokea ng'ambo ya pili na maadui hiyo mashine inayomimina inaweza kuchakaza mti na kuukatilia mbali ila mwamba zile risasi haikumpata hata moja[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kwenda kinyume na rules of reality kwenye movie.
Kuna kipande baada ya kurudia ile convoy ya maadui, akaanza kuwachomoa askari kutoka katika ile lori anawatupa mbele ya kifaru halafu ni jua linawaka keupe peeee , imagine kifaru kipo nyuma ya lori ina maana waliopo juu ya kifaru na ndani ya kifaru wanaona mbele otherwise kama hawaoni wangegonga lile lori, jamaa alikuwa akiwachomoa kama kuku bandani anawatupa nje yeye akiwa amening'inia wapi sasa kwa wakati huo? Technically huu ni uongo wa bongo movie.
Zile landmines/ bombs zilikuwa zikilipuka yeye hazimdhuru tena amezikanyaga ila maadui anawarushia zinawadhuru, huu ni udirector wa kishamba sana ambao kwa sasa wamebakia nao waindi tu kwenye movies zao.
Ndege inaruka jamaa amepiga sululu moja kakamatia uvunguni anaruka nayo hivi unajua laws of physics ndege ikiwa inapaa halafu ikafika kimo kirefu kama kile mtu akining'inia nje nini kinampata balaa la upepo linavyokua. Halafu ndege inaonekana ishafika juu na imekaa level jamaa ndio anaanza kutoboa kuingia ndani, no evidence of how ila mbwe mbwe tu za akina amita bachan [emoji23][emoji23][emoji23]
Adui mule ndani ameshamcontain yule Sisu cha ajabu anamuangalia wakati angeweza mtia shaba za kichwa show ikaisha ila anapiga ngumi tu na anajua jamaa anaroho ya paka hafi kirahisi.
Hamna kitu pale yaani afadhalia hata na ya John wick mara mbili ningesifia ni movie kali tena sio hiyo Sisu director amepuyanga sana mule.
Kwa huu mwaka movie ya uongo zaidi niExtraction II Ni safi sana ila Fast X [emoji41] aaah pale wamekata viuno yaani unaangalia mpaka unasema eeh hapa wameniongopea
John wick bora angeendea kucheza matrix tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna wakati ktk movie waandishi wa story wanaishiwa...hivyo wanauzia jina la franchise na siyo content...hii imeikumba Fast and furious, expandables, prison break, escape plan, terminators, Avator na Sasa tumeona John Wick. Afadhari avators wao wametoa movie wakiitafutia njia nyingine yaani kisa kilifika mwisho hivyo inabidi watafute visa vingine na movie ikavutia ktk mambo ya nature na viumbe bahati Sasa wick ni marisasi mengi yasioendana na kisa yaani ile scene ya ktk ngazi ni ndeefu na haina reality yoyyte...kumuweka mtu kipofu Yen halafu hana uhalisia wa kipofu yaani wametupoga kama DP world tuuu
Eti Kipofu anakwepa risasi[emoji1787][emoji1787]Kuna wakati ktk movie waandishi wa story wanaishiwa...hivyo wanauzia jina la franchise na siyo content...hii imeikumba Fast and furious, expandables, prison break, escape plan, terminators, Avator na Sasa tumeona John Wick. Afadhari avators wao wametoa movie wakiitafutia njia nyingine yaani kisa kilifika mwisho hivyo inabidi watafute visa vingine na movie ikavutia ktk mambo ya nature na viumbe bahati Sasa wick ni marisasi mengi yasioendana na kisa yaani ile scene ya ktk ngazi ni ndeefu na haina reality yoyyte...kumuweka mtu kipofu Yen halafu hana uhalisia wa kipofu yaani wametupoga kama DP world tuuu
Terminator 1-3 ziko fire ila baada y hapo takatakaKwa huu mwaka movie ya uongo zaidi ni
1. John wick aka John walker
2. Fast x
3. Extraction 2
4. Sisu
At least hizo mbili za mwisho kidogo ila hizo franchise mbili za mwanzo miyeyusho kama wahindi. Madirector WA Hollywood now wamechoka wanaharibu sana hizi movies kama Terminator ilitakiwa niishie ya T2 but tamaa ya pesa wameharibu sana. Hata hii extraction waishie hii ya 2 maana ya 3 itakuwa upuuzi kama John wick.
Wanieletee MADAGASCAR Nimemiss sana mwanangu KING JULIEN
Bora ya Extraction 2 ,john wick kachemsha sana [emoji1][emoji1][emoji1]Kwa huu mwaka movie ya uongo zaidi ni
1. John wick aka John walker
2. Fast x
3. Extraction 2
4. Sisu
At least hizo mbili za mwisho kidogo ila hizo franchise mbili za mwanzo miyeyusho kama wahindi. Madirector WA Hollywood now wamechoka wanaharibu sana hizi movies kama Terminator ilitakiwa niishie ya T2 but tamaa ya pesa wameharibu sana. Hata hii extraction waishie hii ya 2 maana ya 3 itakuwa upuuzi kama John wick.
Wanieletee MADAGASCAR Nimemiss sana mwanangu KING JULIEN
Extraction haiwezi kuishia mbili sabb story yake ni simple sana Tyler anafanya kazi kwa kulipwa pesa kuwakomboa au kuwatoa watu kutoka eneo moja kwenda jingine, na story kama hizo zipo nyingi sana shida itakuja kwenye action tuuh je zitakua na Uharisia au na wao wataanza kuleta mambo ya magari kupaa angani kama FAST XKwa huu mwaka movie ya uongo zaidi ni
1. John wick aka John walker
2. Fast x
3. Extraction 2
4. Sisu
At least hizo mbili za mwisho kidogo ila hizo franchise mbili za mwanzo miyeyusho kama wahindi. Madirector WA Hollywood now wamechoka wanaharibu sana hizi movies kama Terminator ilitakiwa niishie ya T2 but tamaa ya pesa wameharibu sana. Hata hii extraction waishie hii ya 2 maana ya 3 itakuwa upuuzi kama John wick.
Wanieletee MADAGASCAR Nimemiss sana mwanangu KING JULIEN
Suti wanazovaa ni bulletproof ukiangalia kuanzia ya 1 ndo utaelewa kwanin suti zao haziingizi risasi, so anachofanya John wick ni kukinga uso na kichwaHata john wick mpya sijaelewa eti mtu anapigwa risasi anazuia kwa mkono really?
Hata kama hakubali kufa ila kuna muda uongo mwingine lazima uukatae. Yan mtu ana majeraha ya risasi tena mguuni halafu anakimbia kama hna jeraha loloteLakini jamani katika ile movie yule mzee walisema alikua ni commando.,na walikua wanamuita immortal..yaani huwa hakubali kufa kirahisi.
Hakuna mtu anakataa kufa, mtu anauwawa. Hiyo filamu ilikuwa too much. Walizidisha ikakosa uhalisia. Raha ya kutazama filamu ni ujisahau kuwa hiyo ni filamu. Kuwe na uhalisia na ndo wenzetu walipotuzidi maarifa ya uandaaji wa filamu. Sasa ile ilizidi mpaka ikapoteza uhalisia.Lakini jamani katika ile movie yule mzee walisema alikua ni commando.,na walikua wanamuita immortal..yaani huwa hakubali kufa kirahisi.
kuna mdau ana channel ya kuitwa CinemaSins, ana discuss flaws za moviesIle movie ina mapungufu ambayo yameifanya kuwa ya kishamba wakati ilikuwa ni story nzuri tu ya kikomando. Yaani mimi katika scale ya 1 hadi 10 naipa 2 sababu ya makosa ya kiufundi na kiuhalisia ya director.
1. Kuna ile scene yule Sisu alikuwa na farasi wake kwa bahati mbaya akaingia eneo lenye Mabomu ya ardhini, baada ya wale jamaa kumjia lile eneo moshi ukawa hauishi, sikuelewa kwann director alifanya ule "ubongo movie pale".
Hivi inawezekana kweli watu msimame umbali usiopungua hata mita 10 halafu huyu mtu eneo lake tu ndio limetanda moshi hamuoni kitu chochote na jamaa wanasilaha kali wangeza mlenga na kumaliza kazi?
Kuna kipande anafanikiwa kutoroka anaingia chini ya maji kwenye mto, maadui wakiwa ng'ambo moja anawamaliza kwa kuwavuta ndani ya maji kutokea wao maadui wakiwa wanamfuata ndani ya maji yeye akiwa katulia tu chini anawasubiria.
Kiuhalisia yule jamaa alikuwa anakimbizwa, so mapafu yake yatakuwa yamesuphocate oxygen atakuwa anahitaji kukaa open space yenye hewa safi avute hewa, jamaa kazama chini ya maji, huku mapigo ya moyo yakiwa juu halafu katulia how is that possible, okay tuseme inawezekana sababu alijitrain, haya kuna muda akatoka kwenye maji akajitwisha mwili wa askari aliyeuwawa na yule adui kuu sababu ya kumsaidia kuvuka na boti kwenda ng'ambo ya pili, jamaa ajajitwisha mwili ili kujikinga na risasi ambazo zinamiminwa tokea ng'ambo ya pili na maadui hiyo mashine inayomimina inaweza kuchakaza mti na kuukatilia mbali ila mwamba zile risasi haikumpata hata moja[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kwenda kinyume na rules of reality kwenye movie.
Kuna kipande baada ya kurudia ile convoy ya maadui, akaanza kuwachomoa askari kutoka katika ile lori anawatupa mbele ya kifaru halafu ni jua linawaka keupe peeee , imagine kifaru kipo nyuma ya lori ina maana waliopo juu ya kifaru na ndani ya kifaru wanaona mbele otherwise kama hawaoni wangegonga lile lori, jamaa alikuwa akiwachomoa kama kuku bandani anawatupa nje yeye akiwa amening'inia wapi sasa kwa wakati huo? Technically huu ni uongo wa bongo movie.
Zile landmines/ bombs zilikuwa zikilipuka yeye hazimdhuru tena amezikanyaga ila maadui anawarushia zinawadhuru, huu ni udirector wa kishamba sana ambao kwa sasa wamebakia nao waindi tu kwenye movies zao.
Ndege inaruka jamaa amepiga sululu moja kakamatia uvunguni anaruka nayo hivi unajua laws of physics ndege ikiwa inapaa halafu ikafika kimo kirefu kama kile mtu akining'inia nje nini kinampata balaa la upepo linavyokua. Halafu ndege inaonekana ishafika juu na imekaa level jamaa ndio anaanza kutoboa kuingia ndani, no evidence of how ila mbwe mbwe tu za akina amita bachan [emoji23][emoji23][emoji23]
Adui mule ndani ameshamcontain yule Sisu cha ajabu anamuangalia wakati angeweza mtia shaba za kichwa show ikaisha ila anapiga ngumi tu na anajua jamaa anaroho ya paka hafi kirahisi.
Hamna kitu pale yaani afadhalia hata na ya John wick mara mbili ningesifia ni movie kali tena sio hiyo Sisu director amepuyanga sana mule.
Ile movie ina mapungufu ambayo yameifanya kuwa ya kishamba wakati ilikuwa ni story nzuri tu ya kikomando. Yaani mimi katika scale ya 1 hadi 10 naipa 2 sababu ya makosa ya kiufundi na kiuhalisia ya director.

Kizuri kizuri tuUnajua movie za namna hii yaani Block Busters za Badass Guy au kwa kiswahili zinaitwa Jeshi la mtu m'moja huwa zinataka kuzingatia sana technicalities za uhalisia kwa miaka hii.
One thing is hauwezi kufake reality sababu kuna kanuni za asili za kifizikia lazima uziheshimu katika kutengeneza scenes za movie yako ziwe na uwiano wa ukweli na uhalisia.
Mimi nitakupa aina za movies za Bad Ass Guy au Jeshi la mtu m'moja ambazo zitaendelea kubakia kuwa 9/10 katika scale ya kurespect na kureflect reality.
1. NO BODY
2. Operation Fortune Ruse De Guerre
3. Katafute zile za Rambo(one hadi hii six nadhani)
4. Extraction
5. The Equalizer
Hizi ni chache tu, ni movie ambazo wameugeuza uongo kuwa ukweli kisayansi kwa kutengeneza mbinu za kijajusi kuweza kukushawishi kuwa mtu m'moja aliyezungukwa na kundi la maadui anafanikiwa kuwachakaza na kuondoka mzima. Cha zaidi wanakupa true definition ya komando hatari.
Sasa wewe unakuja na Sisu hapa unasema ndio movie hatari, hatari ya wapi wakati ni bongo movie iliyochangamka, ndio maana siku hizi movie za hovyo sana kwenye eneo la action ndizo zinapewa tuzo sababu ya madirector uchwara ndio wameshika hatamu. Hamna kitu pale bana tusidanganyane. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ile SISU ni bongo movie ya ulaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]