Sitaendesha shindano la Wajasiriamali Wadogo mwezi huu kwasababu sijapata mrejesho toka kwa mshindi wa Febuari

Sitaendesha shindano la Wajasiriamali Wadogo mwezi huu kwasababu sijapata mrejesho toka kwa mshindi wa Febuari

Subiria Corona ipite mkuu, alafu siyo busara kutoa judgement ilhali hujamsikiliza muhusika! Jaribu kupunguza jazba kidogo mkuu najua hela inauma japo hukumkopesha....
 
Subiria Corona ipite mkuu, alafu siyo busara kutoa judgement ilhali hujamsikiliza muhusika! Jaribu kupunguza jazba kidogo mkuu najua hela inauma japo hukumkopesha....
Kama angeleta mrejesho kuna mahali amekwama ningeweza kumpiga tafu, naona mwenzake Peramiho alirudisha mrejesho baada ya wiki moja tu.
 
Kufanya kazi na mswahili nimenyosha mikono now nikitaka kufanya jambo natafuta japo mkenya nifanye nae kazi ila mswahili apana aise
Work, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.

Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata 'Mhindi' Otherwise usiweke matarajio makubwa.

Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.

Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.

Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !

Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,kwa namna ulivochagua mshindi,nilihisi hili litatokea.Lengo lako halikwa impact bali kusaidia.Unapotoa msaada lazima ujue kama kweli unayemsaidia anahitaji msaada wako.Binafsi nakushauri usikatae kuendelea na mpango wako bali ufanyie maboresho kidogo ikiwamo kuangalia impact,ubunifu na upekee na ikiwezekana uwezo/utayari wa mnufaika kufanyia kazi wazo lake.

Nasema hivi kama mtu anayeelewa msingi wa kuwa Angel investor.Unatakiwa ufahamu kwamba hio elfu hamsini ingeweza kufanya mambo mengi sana katika kuifanya dunia kuwa bora na hukupaswa kuitoa kama vile kwako ni hela ndogo kwa sababu hela hata iwe ndogo vipi ina thamni kubwa sana.

Nakushauri uendelee na zoezi kama uwezo unao na kisha ufanye uamuzi kwa kutumia vigezo vya kitaalamu ili uhakikishe kwamba unamuwezesha mtu na kuleta matokeo.Pembeni ya hapo nipatie mimi hio kazi ya kuchambua na kusimamia wanaufaika na wewe fanya kazi ya kutoa Pesa tu na utaona matokea.Usishangae tukafanikiwa kuanzisha Mutual Fund ya maana sana hapa.

Nasmea hivi kwa sababu natambu kwamba 50,000 ni pesa ambayo umezalisha wewe na unapaswa kuhakikisha inafanya jambo kubwa.

Kila la heri
 
Kama waswahili ni janja janja hiyo hela kasaidie wazungu wasio janja ili uwakwamue ... Kihela chenyewe Ni almost dola 25 ndio kuleta maneno mtandaoni bila aibu....

Nakushauri nenda mtaani Kuna wakina mama wauza maandazi, chapati , mchicha , nyanya, viazi wape huo mtaji uone kama hutakuja kuleta ushuhuda hapa. Unakuja kutoa hela mitandaoni unakutana na wahuni unaishia kusema Mara mswahili sio na bla bla kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapenda ulivyodharau jambo kwa minajili ya kiwango cha hela.

Kitu muhimu zaidi ya kiwango cha hela ni wazo alilolianzisha mwenzetu.

Inawezekana mtu akawa na uwezo wa kutoa hela kubwa, akawa anaanza kidogo kidogo.

Ukiangalia jambo hili kwa kiwango cha fedha, unajivika umasikini wa mawazo.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Umesema kweli kabisa.50,000 can change a world for some one.Kuna watu wanakufa kwa sababu ya kukosa 50,000 wengi sana huku duniani.Sio kiwango cha pesa bali ni nia ya mleta wazo ndio ina uzito mkubwa hata kwangu.
 
Tatizo la jamii forums kumekuwa na matapeli ambao wamefanya watu wengine wasiaminike kwa hela aliyotoa jamaa ni nadra sana kupewa na mtu asiyekujua na hata hivyo hii inasababisha wengine waone hakuna uaminifu pale wanapotaka kuwakwamua vijana tuliomo humu ndani
 
  • Thanks
Reactions: amu
Work, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.

Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata 'Mhindi' Otherwise usiweke matarajio makubwa.

Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.

Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.

Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !

Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!
incompetence is part of swahili culture.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama waswahili ni janja janja hiyo hela kasaidie wazungu wasio janja ili uwakwamue ... Kihela chenyewe Ni almost dola 25 ndio kuleta maneno mtandaoni bila aibu....

Nakushauri nenda mtaani Kuna wakina mama wauza maandazi, chapati , mchicha , nyanya, viazi wape huo mtaji uone kama hutakuja kuleta ushuhuda hapa. Unakuja kutoa hela mitandaoni unakutana na wahuni unaishia kusema Mara mswahili sio na bla bla kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa Basi hata dola 50..ufanye mabadiliko kwa nchi yako
 
Ndugu yangu kamwe usikate tamaa sababu ya watu wachache wasio jua jinsi ya kushukuru ila fanya wenye akili watakuja kulipa fadhila maana kuna watu hawajui nguvu inayotokana na kushukuru
Wakuu kwema?

Niliahidi kuendesha shidano la kumsaka mtu mwenye wazo bora kila mwezi na kutoa mtaji mdogo ili tuweze kukwamuana kama vijana.

Niliahidi kuboresha shindano hili aidha kwa kuongeza amount ya mtaji au kuongeza idadi ya washindi. Nilitaka kufanya mchakato huu kuanzia tar 17 this month na uishie tar hishirini na 22 jumapili siku ya jana ambapo ningekabidhi fedha kwa mhusika. But mpaka leo mshindi hajanipa mrejesho hali inayonipa maswali mengi, nahisi kama kanidharau, namba yake ninayo but siwezi kumpigia kumuuliza jambo.

Sijui yuko hai? Sijui hakuwa na lengo la kufanya ujasiriamali? Yawezekana ni mtu anayejiweza kiuchumi ila aliitamani tu ile 50000? Kama atajiyltokeza leo akaleta mrejesho nami nikajiridhisha kuwa hakuna uongo ndani yake basi kesho shindano nitalianzisha.

Kinyume na hapo sitathubutu kutoa msaada wowote kwa mwanaJF. Na nitajitahidi hata mimi nisifikie hatua ya kuomba msaada humu ndani maishani mwangu. Wengi nimewapiga kampani hata text za salamu sizioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wangekuwa wanatoa pumzi hapa duniani kila siku wangetaka tukawapigie magoti asubuhi kuwasalimia...
We mwenyewe umesema una namba yake ila huwezi kumtafuta yeah of coz yawekana we huna shida ila yeye ndiyo anashida na wewe.
What if jamaa washa zika kitambo na wewe unapiga mboyoyo za kumlaumu na kusema amekudharau.
 
Back
Top Bottom