Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Inaonyesha unawajua Fanya kama unawatagHumu mtu anakuattack bila sababu hata ya msingi...hhehe...! ..wanakuja soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha unawajua Fanya kama unawatagHumu mtu anakuattack bila sababu hata ya msingi...hhehe...! ..wanakuja soon
Kama angeleta mrejesho kuna mahali amekwama ningeweza kumpiga tafu, naona mwenzake Peramiho alirudisha mrejesho baada ya wiki moja tu.Subiria Corona ipite mkuu, alafu siyo busara kutoa judgement ilhali hujamsikiliza muhusika! Jaribu kupunguza jazba kidogo mkuu najua hela inauma japo hukumkopesha....
kabisa
Tumia lugha ya ushawishi mkuu...usiseme tu akukopeshe..jieleze kwanini wewe akukopeshe!...huwezi jua!
Work, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.
Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata 'Mhindi' Otherwise usiweke matarajio makubwa.
Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.
Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.
Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !
Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!
Sijapenda ulivyodharau jambo kwa minajili ya kiwango cha hela.Kama waswahili ni janja janja hiyo hela kasaidie wazungu wasio janja ili uwakwamue ... Kihela chenyewe Ni almost dola 25 ndio kuleta maneno mtandaoni bila aibu....
Nakushauri nenda mtaani Kuna wakina mama wauza maandazi, chapati , mchicha , nyanya, viazi wape huo mtaji uone kama hutakuja kuleta ushuhuda hapa. Unakuja kutoa hela mitandaoni unakutana na wahuni unaishia kusema Mara mswahili sio na bla bla kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli kabisa.50,000 can change a world for some one.Kuna watu wanakufa kwa sababu ya kukosa 50,000 wengi sana huku duniani.Sio kiwango cha pesa bali ni nia ya mleta wazo ndio ina uzito mkubwa hata kwangu.Sijapenda ulivyodharau jambo kwa minajili ya kiwango cha hela.
Kitu muhimu zaidi ya kiwango cha hela ni wazo alilolianzisha mwenzetu.
Inawezekana mtu akawa na uwezo wa kutoa hela kubwa, akawa anaanza kidogo kidogo.
Ukiangalia jambo hili kwa kiwango cha fedha, unajivika umasikini wa mawazo.
Sent from my typewriter using Tapatalk
incompetence is part of swahili culture.Work, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.
Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata 'Mhindi' Otherwise usiweke matarajio makubwa.
Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.
Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.
Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !
Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!
Toa Basi hata dola 50..ufanye mabadiliko kwa nchi yakoKama waswahili ni janja janja hiyo hela kasaidie wazungu wasio janja ili uwakwamue ... Kihela chenyewe Ni almost dola 25 ndio kuleta maneno mtandaoni bila aibu....
Nakushauri nenda mtaani Kuna wakina mama wauza maandazi, chapati , mchicha , nyanya, viazi wape huo mtaji uone kama hutakuja kuleta ushuhuda hapa. Unakuja kutoa hela mitandaoni unakutana na wahuni unaishia kusema Mara mswahili sio na bla bla kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kwema?
Niliahidi kuendesha shidano la kumsaka mtu mwenye wazo bora kila mwezi na kutoa mtaji mdogo ili tuweze kukwamuana kama vijana.
Niliahidi kuboresha shindano hili aidha kwa kuongeza amount ya mtaji au kuongeza idadi ya washindi. Nilitaka kufanya mchakato huu kuanzia tar 17 this month na uishie tar hishirini na 22 jumapili siku ya jana ambapo ningekabidhi fedha kwa mhusika. But mpaka leo mshindi hajanipa mrejesho hali inayonipa maswali mengi, nahisi kama kanidharau, namba yake ninayo but siwezi kumpigia kumuuliza jambo.
Sijui yuko hai? Sijui hakuwa na lengo la kufanya ujasiriamali? Yawezekana ni mtu anayejiweza kiuchumi ila aliitamani tu ile 50000? Kama atajiyltokeza leo akaleta mrejesho nami nikajiridhisha kuwa hakuna uongo ndani yake basi kesho shindano nitalianzisha.
Kinyume na hapo sitathubutu kutoa msaada wowote kwa mwanaJF. Na nitajitahidi hata mimi nisifikie hatua ya kuomba msaada humu ndani maishani mwangu. Wengi nimewapiga kampani hata text za salamu sizioni.
hapa Tanzania fadhili hata mbwa walau atakulinda.