Sitaendesha shindano la Wajasiriamali Wadogo mwezi huu kwasababu sijapata mrejesho toka kwa mshindi wa Febuari

Hivi ni mimi nimeona una gubu au? Wewe saidia chapa lapa mambo ya msgs za texts za nini bwana!!!!!Yaani unataka wawe wanakujulia hali ilihali wewe mwenyewe huwajulii hali? Mawasiliano ni two way traffic mkuu.
Mawasiliano ya upande mmoja ni kujikomba komba hayafai.
Halafu wewe endelea kutoa hiyo mitaji midogo ya wajasiriamali usikate tamaa.
Wapumbavu waache na upumbavu wao.

Na wewe mshindi nakumbuka ni mchoma mahindi temeke sijui embu leta updates mbona unavunja mawasiliano na makubaliano aliyoweka? singizia hata Corona mtoa mada apate moyo.

Na nyie wachawi mlio na mitaji mikubwa au salary slip na bado mnamezea mate hizo 50, 0000 embu acheni uchawi jamani acheni wenzenu wapate fursa walau waweze kupata kitu cha kuwaingiza kipato.

Punguzeni uchawi wajinga nyie.
Hahhaha nimecheka na mwisho hapo
 
Ungemtafuta huyo mnufaika kwa kuwa alitakiwa alete mrejesho ili aseme nini kinaendelea,na atupe uzoefu wake,tofauti na hapo lengo litakuwa halijafanikiwa na italeta mfano mbaya na kukatisha tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Work with, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.

Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata afanyavyo 'Mhindi' otherwise usiweke matarajio makubwa.

Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.

Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.

Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !

Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!

I agree with you 100%
 
Hivi ni mimi nimeona una gubu au? Wewe saidia chapa lapa mambo ya msgs za texts za nini bwana!!!!!Yaani unataka wawe wanakujulia hali ilihali wewe mwenyewe huwajulii hali? Mawasiliano ni two way traffic mkuu.
Mawasiliano ya upande mmoja ni kujikomba komba hayafai.
Halafu wewe endelea kutoa hiyo mitaji midogo ya wajasiriamali usikate tamaa.
Wapumbavu waache na upumbavu wao.

Na wewe mshindi nakumbuka ni mchoma mahindi temeke sijui embu leta updates mbona unavunja mawasiliano na makubaliano aliyoweka? singizia hata Corona mtoa mada apate moyo.

Na nyie wachawi mlio na mitaji mikubwa au salary slip na bado mnamezea mate hizo 50, 0000 embu acheni uchawi jamani acheni wenzenu wapate fursa walau waweze kupata kitu cha kuwaingiza kipato.

Punguzeni uchawi wajinga nyie.

🤣🤣🤣🤣hiki ni kichambo
 
Back
Top Bottom