Work with, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.
Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata afanyavyo 'Mhindi' otherwise usiweke matarajio makubwa.
Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.
Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.
Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !
Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!