Sitaendesha shindano la Wajasiriamali Wadogo mwezi huu kwasababu sijapata mrejesho toka kwa mshindi wa Febuari

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Wakuu kwema?

Niliahidi kuendesha shidano la kumsaka mtu mwenye wazo bora kila mwezi na kutoa mtaji mdogo ili tuweze kukwamuana kama vijana.

Niliahidi kuboresha shindano hili aidha kwa kuongeza amount ya mtaji au kuongeza idadi ya washindi. Nilitaka kufanya mchakato huu kuanzia tar 17 this month na uishie tar hishirini na 22 jumapili siku ya jana ambapo ningekabidhi fedha kwa mhusika. But mpaka leo mshindi hajanipa mrejesho hali inayonipa maswali mengi, nahisi kama kanidharau, namba yake ninayo but siwezi kumpigia kumuuliza jambo.

Sijui yuko hai? Sijui hakuwa na lengo la kufanya ujasiriamali? Yawezekana ni mtu anayejiweza kiuchumi ila aliitamani tu ile 50000? Kama atajiyltokeza leo akaleta mrejesho nami nikajiridhisha kuwa hakuna uongo ndani yake basi kesho shindano nitalianzisha.

Kinyume na hapo sitathubutu kutoa msaada wowote kwa mwanaJF. Na nitajitahidi hata mimi nisifikie hatua ya kuomba msaada humu ndani maishani mwangu. Wengi nimewapiga kampani hata text za salamu sizioni.
 
Work with, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.

Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata afanyavyo 'Mhindi' otherwise usiweke matarajio makubwa.

Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.

Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.

Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !

Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!
 
Work, employ or help any 'Mswahili' at your own risk.

Mswahili ukimpa kazi hata kumwajiri unatakiwa kumpa ' Harsh Supervision' kuliko hata 'Mhindi' Otherwise usiweke matarajio makubwa.

Mswahili Hana utamaduni wa kuheshimu MAKUBALIANO wala MIKATABA.

Mnakubaliana Vizuri tu, then kesho ataanza kuleta DANA DANA.

Mara anaumwa, kesho shangazi kafa, Mara Kapigwa Juju Kuna Watu Wanamwonea Wivu Hivyo Kaenda Kwa Mganga Wamemwambia, kesho kutwa mjomba anauguliwa utafikiri wewe huna shida !

Narudia Tena Invest Kwa Mswahili Kile Unachomudu Kupoteza!
Ndio maana magufuli akitunyoosha tunalalamika tunamuona adui na hafai kuwa raisi.
 
Hivi ni mimi nimeona una gubu au? Wewe saidia chapa lapa mambo ya msgs za texts za nini bwana!!!!!Yaani unataka wawe wanakujulia hali ilihali wewe mwenyewe huwajulii hali? Mawasiliano ni two way traffic mkuu.
Mawasiliano ya upande mmoja ni kujikomba komba hayafai.
Halafu wewe endelea kutoa hiyo mitaji midogo ya wajasiriamali usikate tamaa.
Wapumbavu waache na upumbavu wao.

Na wewe mshindi nakumbuka ni mchoma mahindi temeke sijui embu leta updates mbona unavunja mawasiliano na makubaliano aliyoweka? singizia hata Corona mtoa mada apate moyo.

Na nyie wachawi mlio na mitaji mikubwa au salary slip na bado mnamezea mate hizo 50, 0000 embu acheni uchawi jamani acheni wenzenu wapate fursa walau waweze kupata kitu cha kuwaingiza kipato.

Punguzeni uchawi wajinga nyie.
Wakuu kwema?

Niliahidi kuendesha shidano la kumsaka mtu mwenye wazo bora kila mwezi na kutoa mtaji mdogo ili tuweze kukwamuana kama vijana.

Niliahidi kuboresha shindano hili aidha kwa kuongeza amount ya mtaji au kuongeza idadi ya washindi. Nilitaka kufanya mchakato huu kuanzia tar 17 this month na uishie tar hishirini na 22 jumapili siku ya jana ambapo ningekabidhi fedha kwa mhusika. But mpaka leo mshindi hajanipa mrejesho hali inayonipa maswali mengi, nahisi kama kanidharau, namba yake ninayo but siwezi kumpigia kumuuliza jambo.

Sijui yuko hai? Sijui hakuwa na lengo la kufanya ujasiriamali? Yawezekana ni mtu anayejiweza kiuchumi ila aliitamani tu ile 50000? Kama atajiyltokeza leo akaleta mrejesho nami nikajiridhisha kuwa hakuna uongo ndani yake basi kesho shindano nitalianzisha.

Kinyume na hapo sitathubutu kutoa msaada wowote kwa mwanaJF. Na nitajitahidi hata mimi nisifikie hatua ya kuomba msaada humu ndani maishani mwangu. Wengi nimewapiga kampani hata text za salamu sizioni.
 
Kama una nia ya kuendelea kusaidia vijana wenzako wa JF tunakuomba uendelee Binadamu tupo tofauti sio kila mtu ataenda vile unataka wapo ambao watakupa mrejesho na wapo ambao hawatakupa mrejesho lakini wema wako utabaki palepale hata kama wengi hawajatambua mchango wako.
 
Kama waswahili ni janja janja hiyo hela kasaidie wazungu wasio janja ili uwakwamue ... Kihela chenyewe Ni almost dola 25 ndio kuleta maneno mtandaoni bila aibu....

Nakushauri nenda mtaani Kuna wakina mama wauza maandazi, chapati , mchicha , nyanya, viazi wape huo mtaji uone kama hutakuja kuleta ushuhuda hapa. Unakuja kutoa hela mitandaoni unakutana na wahuni unaishia kusema Mara mswahili sio na bla bla kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa moyo wa kipekee wa utoaji mkuu..kutoa ni moyo haijalishi unapataje pesa yako au unaitumiaje ...sio kila binadamu anaweza hizo mambo

Ila hii natazama kama sio msaada kwa sababu kulikuwa na makubaliano maalum..gafla mpokeaji kapotelea hewani kama albamu ya konde boy ilivyomezwa na corona..labda atakuja hapa alete mrejesho

Wala isikuvunje moyo ukajiewekea moyo wa choyo kama mabandidu mengine yatakoyukuja kukosoa ilihali hawachangia hata jero kwa msaada uliotoa..kazi yao kukosoa na kuwa na utu wa kinafki..

Mungu amekupa roho ya utoaji endelea kutoa vile itakavyokupendeza...

Leo sisi wenye stress zetu ndo pakutolea povu..hehehe kama namuon mtoa mada atakavyopopolewa...! Ukitoa usisubiri shukrani!
 
Naomba kuwasilisha.....
IMG-20200322-WA0004.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunastress za marejesho na vikoba ukizingatia shuleni tunapouza uji shule zimefungwa woiiiiii.
Kama naona mapovu juu ya mleta mada ilihali hatukuchangia sh 200.

Lakini huyu hakutoa insuch aliwakopesha bila riba!...
 
Kama waswahili ni janja janja hiyo hela kasaidie wazungu wasio janja ili uwakwamue ... Kihela chenyewe Ni almost dola 25 ndio kuleta maneno mtandaoni bila aibu....

Nakushauri nenda mtaani Kuna wakina mama wauza maandazi, chapati , mchicha , nyanya, viazi wape huo mtaji uone kama hutakuja kuleta ushuhuda hapa. Unakuja kutoa hela mitandaoni unakutana na wahuni unaishia kusema Mara mswahili sio na bla bla kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dola 25 ni ndogo? Acha dharau bwana,wewe unaweza kumpa mtu kiasi hicho? Au umejisikia tuu kutema pumba lunatoc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini huyu hakutoa insuch aliwakopesha bila riba!...
Mie namuombea apate hela nyingu bwana mleta mada atoke kwenye 50,000 mpaka laki 5 au million na sie wengine tuingie kwenye mpambano.

Kwa sasa hivi tuwaachie wenzetu walau na wao wapunguze makali ya vyuma kukaza.

Mleta mada acha zako we endelea kutoa Mungu atakubariki sana na kiwango kitapanda maradufu.
 
Wakuu kwema?

Niliahidi kuendesha shidano la kumsaka mtu mwenye wazo bora kila mwezi na kutoa mtaji mdogo ili tuweze kukwamuana kama vijana.

Niliahidi kuboresha shindano hili aidha kwa kuongeza amount ya mtaji au kuongeza idadi ya washindi. Nilitaka kufanya mchakato huu kuanzia tar 17 this month na uishie tar hishirini na 22 jumapili siku ya jana ambapo ningekabidhi fedha kwa mhusika. But mpaka leo mshindi hajanipa mrejesho hali inayonipa maswali mengi, nahisi kama kanidharau, namba yake ninayo but siwezi kumpigia kumuuliza jambo.

Sijui yuko hai? Sijui hakuwa na lengo la kufanya ujasiriamali? Yawezekana ni mtu anayejiweza kiuchumi ila aliitamani tu ile 50000? Kama atajiyltokeza leo akaleta mrejesho nami nikajiridhisha kuwa hakuna uongo ndani yake basi kesho shindano nitalianzisha.

Kinyume na hapo sitathubutu kutoa msaada wowote kwa mwanaJF. Na nitajitahidi hata mimi nisifikie hatua ya kuomba msaada humu ndani maishani mwangu. Wengi nimewapiga kampani hata text za salamu sizioni.
Nikopeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom