Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.
Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.
Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza
Sifa soma post iliyo pita
kua na heshima, vaa kiheshima, kua na kauli nzuri. mume anajileta mbonaNina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.
Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.
Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza
Sifa soma post iliyo pita
Mtego huo[emoji3][emoji3]stress mbaya sana
Yaan ebu nenda bas pm katest..ukute m300 zipo kweli uje tufanye biasharaMtego huo
Ulete mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]Una gundu gani hupati baasha wewe mwanamke. Kila siku unajipa promo tu huolewi?
Au unachezea akili za watu??
Ngoja sasa nije PM kumbafff [emoji23][emoji23][emoji23]
Teeeh hutaki m300 ww??Aisee ulikuwa wife material wangu kabisa sema kigezo kimoja tu ndio umeyumba.
Tatizo hilo la kuwa na m300 fanya kuzimaliza kwanza baada ya hapo njoo pm mama upate tulizo la moyo wako
Unaweza kwenda ukakutana na kibomu cha hatariYaan ebu nenda bas pm katest..ukute m300 zipo kweli uje tufanye biashara
[emoji23][emoji23][emoji23]dume mwenzio sioUnaweza kwenda ukakutana na kibomu cha hatari
Huyo ni dume sio demu.[emoji23][emoji23][emoji23]dume mwenzio sio
Ni hatari kwa kwa kweli! Mtoa mada lengo lake ni ndoa kwa hiyo hizo mil 300 ni chambo cha kunasia wale wenye tamaa[emoji23][emoji23][emoji23]dume mwenzio sio
Ushaenda pm nn??Huyo ni dume sio demu.
Hadi mdada anatumia njia ya kua na hela hii hatar nilijua wanaume tu ndo wanatuvutia kwa hela...kwa mantiki hii inaonyesha kkabisa huyu dumeNi hatari kwa kwa kweli! Mtoa mada lengo lake ni ndoa kwa hiyo hizo mil 300 ni chambo cha kunasia wale wenye tamaa
Ushaenda pm nn??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna watu wanacheza na akili za watuHuyo ni dume sio demu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora umekua mkweli[emoji40][emoji40][emoji40]Nimeenda ndio, msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ndoa haina chama.