Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.

Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.

Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza

Sifa soma post iliyo pita

kua na heshima, vaa kiheshima, kua na kauli nzuri. mume anajileta mbona
 
Una gundu gani hupati baasha wewe mwanamke. Kila siku unajipa promo tu huolewi?

Au unachezea akili za watu??

Ngoja sasa nije PM kumbafff [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una gundu gani hupati baasha wewe mwanamke. Kila siku unajipa promo tu huolewi?

Au unachezea akili za watu??

Ngoja sasa nije PM kumbafff [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulete mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee ulikuwa wife material wangu kabisa sema kigezo kimoja tu ndio umeyumba.

Tatizo hilo la kuwa na m300 fanya kuzimaliza kwanza baada ya hapo njoo pm mama upate tulizo la moyo wako
Teeeh hutaki m300 ww??
 
Ni hatari kwa kwa kweli! Mtoa mada lengo lake ni ndoa kwa hiyo hizo mil 300 ni chambo cha kunasia wale wenye tamaa
Hadi mdada anatumia njia ya kua na hela hii hatar nilijua wanaume tu ndo wanatuvutia kwa hela...kwa mantiki hii inaonyesha kkabisa huyu dume
 
Back
Top Bottom