kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.
Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.
Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza
Sifa soma post iliyo pita
kua na heshima, vaa kiheshima, kua na kauli nzuri. mume anajileta mbonaNina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.
Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.
Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza
Sifa soma post iliyo pita