Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Wanaume siku hizi wamekua dili sana
 
Awe anatafuta nini sasa, mbinyo wa uchumi unatafuta kumpunguzia baba yako bajeti eeh..!
 
Baba kaomba na sifa mojawapo ya chembe chembe ya biashara Mangi mwenyewe nipo hapa Ila mtaji wa biashara ndo hakuna
 
Kweli.Mungu hashindwi.
Watu huwa hatujui.
Watu wamepitia changamoto sana kwenye maisha.
Hasa mahusiano.
Huwa naumia sana kwa watu wanaozidi kuwaumiza wanaotafuta second chance..
Tuwatie Moyo.Na Mungu atatubariki.
Amen.
KILA KHERI UTAPATA HITAJI LAKO
 
Mwenye kujia dawa ya kuongeza urefu please
Haaaaaa haaaaaa
Wafupi kazi mnayo.
Ila inategemea.Unaweza kuta sio kama wa emolo.Kama wa kati mtoa mada anaweza akakufikilia.Nenda Pm
 
Huwezi pata mwanaume mweusi mwenye hizo vigezo
 
Asanteee rafiki
 
Sidhani kama mleta uzi analijua hilo
IPO hivi.Hata wewe unapoenda Kununua Nazi Sokoni .Hununui tu kwa kuwa unanunua bali utakuwa Na choice yako kama iliyokomaaa au ndogo ndogo.Zilizobaki baada ya wewe kuchukua unayopenda haimaanishi hazitapata MTU.
That is life.
 
Hahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…