Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume

Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa

Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe

Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike

Karibu inbox
Wanaume siku hizi wamekua dili sana
 
Awe anatafuta nini sasa, mbinyo wa uchumi unatafuta kumpunguzia baba yako bajeti eeh..!
 
Baba kaomba na sifa mojawapo ya chembe chembe ya biashara Mangi mwenyewe nipo hapa Ila mtaji wa biashara ndo hakuna
 
Kweli.Mungu hashindwi.
Watu huwa hatujui.
Watu wamepitia changamoto sana kwenye maisha.
Hasa mahusiano.
Huwa naumia sana kwa watu wanaozidi kuwaumiza wanaotafuta second chance..
Tuwatie Moyo.Na Mungu atatubariki.
Amen.
KILA KHERI UTAPATA HITAJI LAKO
 
Huwezi pata mwanaume mweusi mwenye hizo vigezo
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume

Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa

Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe

Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike

Karibu inbox
 
Mamii utapata.Wengine Wapo kukatisha wenzao tamaa Na kutwa Wapo hapa love connect. huwa najiulizaga kwani majukwaa mengine hawayaoni.
Jf wameweka jukwaa hili kwa kuwa linafaa Na kuna uhitaji Na watu smart wanapata wenza .
Go my Girl.Life is everywhere and with anyone any place .No boundaries.
Asanteee rafiki
 
Sidhani kama mleta uzi analijua hilo
IPO hivi.Hata wewe unapoenda Kununua Nazi Sokoni .Hununui tu kwa kuwa unanunua bali utakuwa Na choice yako kama iliyokomaaa au ndogo ndogo.Zilizobaki baada ya wewe kuchukua unayopenda haimaanishi hazitapata MTU.
That is life.
 
Usiwafuatilize hapo.Wengi humu wanastress za vyeti feki.Ndo anajiliwaza hapa..why MTU Povu likutoke la burebure kwa MTU aliyekuja kutafuta mchumba tena jukwaa sahihi..
Ni sawa a mimi niende Jukwaa la mapishi kumkosoa MTU anayeuliza namna ya kupika Chapati eti kwa kuwa tu Mimi najua that is Ridiculous!
Hahaaaaaa
 
Kituna umeniona lakini?
FB_IMG_15387200949019865.jpeg
 
Back
Top Bottom