Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Asanteee rafiki
Kuna watu humu marafiki Zangu sema sio wa Show Off.
Wamepata waume wake Na mambo yao ni Super.
Kwani waliokutana mtaani haachani au hawana mapungufu
Au watu wa hapa ni Maroboti!!?
Kikubwa ni kuwa smart.
Mara ya kwanza kutaneni Public
Msome tabia yake.
Asitangulize papuchi
Au eti apajue kwako kwanza nooooooo!
Fahamu kwake kwanza.
Understand????
 
Mkuu unaweza tuu kufoji umri. Kwani lazima uende na cheti cha kuzaliwa? Hii bongo nyoso bhana. Nothing impossible
Mwenyewe pamenigusa kweli maana nimetoka kuweka bandiko kama hili soon naona na naye kapanda na uzi kama wangu umri ndo unatutenganisha tu
 
Mkuu kea hili bandiko LA bidada ukiwa mfupi lazima utukane tu
 
Wanaisoma nambaaa
Maanduje wanajua Love sana.
Ila Ndo hivyo Wadada Na sisi hatuna shukrani
But ukimpata shotiiii Unafaidi ya Dunia.
Panapokwaza ni unatembeaje naye kwa watu??
Akiwa anabaki home sawa.
 
Aiseeeeee kuna Wanaume Magenious .In I think Ndo lengo la Mtoa uzi.Labda aje aturekebishe
Ndio mtazamo wake huo,bila kujua mwenye sifa hizo tayari kuna mwanamke alishamtengeneza/kumuandaa na leo hii tunamuona amepata mafanikio.
 
But amini usiamini.Anaweza akambahatisha..
Asikate tamaa
Chance zipo.
Ndio mtazamo wake huo,bila kujua mwenye sifa hizo tayari kuna mwanamke alishamtengeneza/kumuandaa na leo hii tunamuona amepata mafanikio.
 
Huu mwandiko wa mtoa mada umekaa ki-"me" "me"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…