Lazima ugune.Wewe tena
Hapa nakukataliaaaNa hii imewasababisha wadada wa watu kuchapwachapwa hovyo mwisho wa siku ndoa hakuna;wanafikia kukata tamaa na kuanza kuingia mtandaoni kujaribu bahati.
Nakubaliana naweHapa nakukataliaaa
Sio wote wanaoingia Mtandaoni walipitia hayo.
Wengine walikuwa Na wenza wachumba wakawafumania.Walifiwa.Kuna mambo mengi sana.
Kumjudge MTU simply umemuona hapa is not right my friend.
Changamoto ni nyingi sana
Lazima ugune.Wewe tena
Just a joke.Unajua matani yakoMm nmekufanyaje tena jamani?!
Just a joke.Unajua matani yako
Awe mkazi wa wapiNi mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume
Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa
Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe
Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike
Karibu inbox
Hatari wafupi anajua akikohoa tu kibamia kitachomoka hizi ni mbinu za medani
Kituna mumeo niko hapa njoo nakusubili kule makutano junction..!Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume
Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa
Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe
Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike
Karibu inbox
Mbilikimo tukae pembeni..
kitumbuaJina lako kituna, mm ningependa kujua kilichotuna ni nini?
Hata ukiwa mrefu km wire wa umeme,Aiseee wanaume wafupi mnapata taabu sana