La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
Unakwama wapi mkuu wakati mabechela chipukizi tupo jamani. Nakuja PM kwa mwendo wa farasiWanaume wa jf hakuna mabachera ngoja nikatoe furusa kwengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakwama wapi mkuu wakati mabechela chipukizi tupo jamani. Nakuja PM kwa mwendo wa farasiWanaume wa jf hakuna mabachera ngoja nikatoe furusa kwengine.
hahahaWe mmeru una hasira sana
Huyo sio Mwanamke ni mwanaume.Unawezaje kupata 300m halaf ukose mwanaume mpk uanze kujitangaza?!
Hana hela mkuu unaamini huo upuuzi.Mara useme jf hakuna bachera wa kuoa...
kwa taarifa yako hizo hela zitaliwa na huolewi pia
Nyie sifa nyingiVipi mimi muhaya
[emoji3][emoji3]umeshabahatika? Hao ulionao bado hamna anaefaaKatika harakati za kutafuta mke wa kuoa nikaona nipite hapa
Yani natia hurumaa.[emoji3][emoji3]umeshabahatika? Hao ulionao bado hamna anaefaa