Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume

Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa

Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe

Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike

Karibu inbox
Kila kitu walau nimefit isipokuwa urefu.Nipo wastani si mrefu.Sasa sijui ninafaa?
 
Mimi naomba kujua unaumri gani na hujawai kudate na mtu yeyote halafu mengine niachie mimi.
 
Back
Top Bottom