D
Waiwekee emergency kengele isiyotumia umemeLifti hizi duh!!
Waiwekee emergency kengele isiyotumia umeme
hahahaaa pole Sana mkuu.mm lifti siipendi maana nikipanda najihisi kudondoka afu tumbo linaniumaga sana kama linataka kudondoka vile
duu!!!Duuuh hatari acha nibaki tu na ushamba wangu teh....
Siku nlienda kujifungua nna uchungu nesi ananambia tupande lift kwenda leba, nkamwambia hapana sipandi lift mie napanda ngazi, anauliza mara mbili utaweza kupanda namwambia lift sipandi....wala sikupanda
Mi nlipanda lift Toka magomen had posta we hyo boda inakimbia cjawah onaHahaa. Hauko peke ako. Muulize Mkapa alivyonasa kwenye lift wizara ya miundombinu. Lile jengo lilikuwa na lift nzee sana hadi wakaajiri mtu spesho wa kusafiri nayo. Sasa Mkapa alivyokuwa Rais akawa ameenda wizarani sijui kufanya nini. Basi ile kupanda tu, lift ikabuma. Watu wakahaha kumnasua.
NB: hii ni story iliyokuwepo vijiweni, sina uhakika kama tukio lilitokea au lah. Ila nina uhakika kuwa jengo la wizara lilikuwa na lift kimeo. Nadhani watakuwa washaibadilisha.
Dah umenikumbusha mbali sana enzi hizo nilikuwa naishi hall 2, floor ya kumiKwa wale waliosoma UDSM na kuishi Hall 2 kukwama kwa lifti ilikuwa kawaida sana. Sijui kwa siku hizi
Pole sana mkuu.