reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]D_Rob ndio nan mbona hata simjui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]D_Rob ndio nan mbona hata simjui
Chief Ryhmso kachana vizuri sana hapa.
kumbe unawakumbuka Kwanza Unit hawa kwakweli nilipenda nyinmbo zao jamani sijui wako wapiKuna wimbo alishirikishwa na Lady Jaydee, alighani kwa utulivu sana mule.
Nimemkumbuka na Chief Rhymson kwenye Msafiri ya Kwanza Unit.
Miyeyusho mkuu,hakuna sehemu mtoa mada kapindishaHahahahahahaha mwamba kakurupuka
Barimiiii[emoji1787]Mkuu kabla ya ku comment uwage unasoma vizuri
Duh!Bilashaka wewe ni GK
Kaja race akijua ni bia kumbe konyagiMkuu kabla ya ku comment uwage unasoma vizuri
Kumbe na wewe ndio wale wale kizazi cha best naso!..D_Rob ndio nan mbona hata simjui
huna akili.Kwani DNob kafariki?
Ninakumbuka wimbo wa 'Elimu Biashara Tutasomaje'
nakupinga ndg. usiwatetee hawa watoto wa kizazi hiki. akili yao haipo inquisitive,hawajiongezi.wanataka kila kitu uwatafunie.Wa kizazi hiki umewaacha mbali sana, ulipaswa umuelezee walau kwa ufupi D-Rob ni nani? Alitoa nyimbo gani enzi za uhai wake, alifariki namna gani?
Anayway, GK alimuenzi vizuri sana, ule wimbo wa Tutakukumbuka Daima Milele umebaki kama alama mojawapo ya nyimbo za maombolezo kutokea BongoFleva
Wa pili kushoto, mwenye kiremba.Yupi kati ya hawa View attachment 2572737
Ukiwa ulizaliwa 1998 kusogea tulipo huwezi kumjua jamaa!Kwani DNob kafariki?
Ninakumbuka wimbo wa 'Elimu Biashara Tutasomaje'
Mkuu huyu jamaa yupo wapi siku hizi?Kuna wimbo alishirikishwa na Lady Jaydee, alighani kwa utulivu sana mule.
Nimemkumbuka na Chief Rhymson kwenye Msafiri ya Kwanza Unit.