Sitakaa kumsahau mwana D-Rob

Sitakaa kumsahau mwana D-Rob

Kuna wimbo alishirikishwa na Lady Jaydee, alighani kwa utulivu sana mule.

Nimemkumbuka na Chief Rhymson kwenye Msafiri ya Kwanza Unit.
kumbe unawakumbuka Kwanza Unit hawa kwakweli nilipenda nyinmbo zao jamani sijui wako wapi
 
Wa kizazi hiki umewaacha mbali sana, ulipaswa umuelezee walau kwa ufupi D-Rob ni nani? Alitoa nyimbo gani enzi za uhai wake, alifariki namna gani?

Anayway, GK alimuenzi vizuri sana, ule wimbo wa Tutakukumbuka Daima Milele umebaki kama alama mojawapo ya nyimbo za maombolezo kutokea BongoFleva
nakupinga ndg. usiwatetee hawa watoto wa kizazi hiki. akili yao haipo inquisitive,hawajiongezi.wanataka kila kitu uwatafunie.

kwenye smartphone zao kuna browser au search engine mbalimbali ambazo zinasaidia kutoa taarifa/majibu ya awali kwa swali lolote unalouliza.

shida ni kwamba wengi wao hutumia hizi browser ku-search porno na habari za ujingaujinga zinazohusu udaku.

google search ukiandika tu keyword "kwanza unit", utaletewa link za kundi la kwanza unit, ndani ya hizo link utapata info za kujua D.Rob alikuwa ni nani na je yupo hai au alishafariki dunia.

Kwanza Unit - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Yupi kati ya hawa
IMG_20230401_095030_412.jpg
 
Back
Top Bottom