Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Ndiyo sera zenu hizi? Mmepanic vibaya hakiya nani!
 
Sasa chadema itashindaje kama mtu analeta picha kama hii nakusema hapo ni Iringa na Lisu kaifuta ccm Iringa leo hii?

Hivi ni sehemu gani Iringa kuna minazi?

Chadema hii ya Lisu ni aibu tupuView attachment 1568603
Toka ulivyoletwa mjini moja kwa moja kutokea biharamulo hadi korido za Lumumba Basi ukafikiri Ni Dar tu ndio Kuna minazi?
[emoji16][emoji16]
 
Wewe ni Mungu tukubaliane na mawazo yako?nenda Kanye ulale
Ndio pale unapokosa point,kwanini unatoa matusi?
Hivi huna advanced level language ya kutotoa matusi?
Kama huna mechanism hiyo basi siasa ya utu imekupita kando.
Lakini muone daktari akusaidie.Ajabu hujawahi hata kuingia msituni kweli wewe unahitaji msaada wa kwanza
 

Unakumutwa wewe. Kama kweli unapenda nchi iongozwea kwa misingi ya katiba na sheria ungehamia CHADEMA. CCM na serikali yake wamevunja sana misingi ya katiba na sheria. Mfano mmoja mkubwa ni kutumia pesa ya uma kujenga uwanja wa ndege Chato bila ridhaa ya bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…