Chadema ni kundi la wahuni.. kamwe MUNGU hawezi kuwafikisha mbali ktk nchi hii
Watu gani kila wakiongea wanafoka tu wala hawasemi la maana,yaani kila ukiwasikilizaa unaona wazi kua wana uchu wa madaraka tu kutafuta mamlaka na pesa na si uchungu wa wananchi
Kutwa kucha hoja za mgombea wao ni kumsema Rais na kutuambia mambo ya risasi alizopigwa,hasemi atawafanyia nini wananchi..akijitahidi kuongea jambo analiongea ktk mlengo wa kiulaya,hapa ni Afrika,hapa ni Tanzania nchi yetu nzuri na hatuna haja na maisha ya watu wa ulaya
JPM na team yake watapita nina hakika tena kwa asilimia kubwa sana maana wananchi walio wengi walisha muelewa vzr na hawapo twitter wala jf ambako ndo ziko siasa za wahaini hawa.