Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.

Kwa nini nasema hivyo?

Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.

Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.

Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.

Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.

Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.

Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.

Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?

Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.

Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.

All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.
Hey koundou boy, u get pounded in ur ass though! What’s better, ass pounding or sand pounding?
 
BAK kama nakuona unavyofura hasira ukiona uzi Uzi huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safari hii mtaongea matusi yote kwanza so ndio wewe ulikuwa unatamani magufuri ashindwe mwaka 2016 unafikili tumesahau
 
Chadema sera yake ni kupiga vita miundombinu na kuwaahidi kuwanunulia watu vyombo vya jikoni...
 
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.

Kwa nini nasema hivyo?

Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.

Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.

Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.

Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.

Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.

Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.

Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?

Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.

Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.

All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.

Kwahiyo na wewe unakunali kuwa katika wagombea waone wasiofahamu kujaza fomu ni wa upinzani tu mbona hatujaonana hata mmoja wa CCM akienguliwa. Double standard iko waziwazi kabisa Kwahiyo wewe unaona ni sawa mgombea anapowaambiwa NEC atashangaa kama yeye anawateua na kuwapa mshahara na magari halafu wamtangaze mpinzani hivi hapo haki ya wananchi ya kuchagua inakuwa imewekwa wapi.

Hivi vyama vingi vimekiwepo tangia 1995 kwenye uchaguzi wankwanza lakini yanayofanyika kwenye hii awamu hayajawahi kutokea imagine kuna chama kilipata usajiri wa kudumu 2015 na Rais akakataza kufanya Siasa na sasa kinatakiwa kuingia kwenye uchaguzi kitashindaje hakijulikani popote.

Mimi nasikitishwa sana na uminywaji wa uhuru wa kutoa mawazo na upatikanaji wa haki pamoja na ugumu wa maisha uliotengenezwa kwa makusudi kwa kutoendeleza sekta binafsi na kujihangaisha na mbinu za kurudisha uchumi wa Dola. Nchi yetu inaweza kupiga hatua za maendeleo kutumia sekta binafsi siyo kutumia serikali maendeleo yataletwa na wananchi kwa kwa njia ya sekta binafsi sasa ukiona sekta binafsi inaonekana ni adui mbele ya serikali hapo hakuna ndoto za maendeleo.

Hivyo ni wazi kuwa hatuwezi kuwa tunakwenda mbele halafu leo tena tuanze kurudi kwenye mfumo wa Uchumi ambao ulishindwa kabisa miaka ya 80. Kiukweli kwa mtanzania anayeishi Tanzania ukiona anashabikia CCM ujuwe yuko kwenye mfumo lakini majority wanaojitambua hawawezi kushabikia CCM kwa jinsi nchi ilivyobadilishwa na kuwa kama Korea ya kaskazini.

Unapoona vyombo vya habari viongozi wadini wameamuwa kuogopa na kuamuwa kuanza kusifia ujuwe tumefika kwenye hali mbaya sana kama kweli tunaitakia mema hii nchi yetu tunahitaji mabadiliko hatuwezi kuendelea na hiki chama kimefikia mwisho wa uwezo wa kulete maendeleo kwa watanzania.

Tumekuwa tunakwenda mbele na kurudi nyuma kila wakati chama kimoja lakini akiingia Rais mwengine anaacha kabisa yale aliyokuwa anasimamia mwenzake kama vipaumbele anaanza yake kama vile siyo chama kimoja matokeo yake tunakwenda mbele tu arudi nyuma.

Inawezekana una mapenzi sana na CCM lakini siyo hii iliyopo sasa madarakani hata ndani ya CCM wanafahamu kuwa kuna tatizo ndani ya chama chao.
 
Nyani Ngabu,

Siyo kawaida yako kuwa na ghadhabu kali namna hii.

Nimesoma bandiko lako lina hoja moja tu kuhusu kukamatwa watu na ndiyo ikupe hasira kiasi hicho.

Bandiko lako mwishoni unahitimisha unadai Haki kwa wote bila upendeleo na ndiyo msingi wa kauli mbiu ya CHADEMA ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Sasa hasira hii kali katika bandiko lako lenye mkinzano-wa-hoja ndani ya hoja yako, huku unaunga mkono kauli mbiu ya CHADEMA inachopigania kwa waTanzania wote msingi wake ni upi, funguka Nyani Ngabu.
 
Nyani Ngabu,

Siyo kawaida yako kuwa na ghadhabu kali namna hii.

Nimesoma bandiko lako lina hoja moja tu kuhusu kukamatwa watu na ndiyo ikupe hasira kiasi hicho.

Bandiko lako mwishoni unahitimisha unadai Haki kwa wote bila upendeleo na ndiyo msingi wa kauli mbiu ya CHADEMA ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Sasa hasira hii kali katika bandiko lako huku unaunga mkono kauli mbiu ya CHADEMA inachopigania kwa waTanzania wote msingi wake ni upi, funguka Nyani Ngabu.
Huyu jamaa kavurugwa kama walivyo wanaccm wote. Kila mahali wao wanatukana matusi tuu. Emb angalia alichoandika baada ya kushiba pombe
 
Back
Top Bottom