Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.

Kwa nini nasema hivyo?

Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.

Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.

Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.

Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.

Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.

Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.

Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?

Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.

Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.

All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.
Inaonekana mimba yako bado changa
 
Mwambie aje....sijawahi kushindwa ngumi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hembu tupieni japo picha za vifua tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hembu tupieni japo picha za vifua tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
E4690306-63E5-4DD8-8650-49DA60760A04.jpeg
 
Chadema ni wajinga sana yani kama TCRA wanapo vifungia vyombo vya habari wao wanaleta misemo yao eti wakimalizana na susi...yani maana yake chadema wakishika dola hakuna mwanachadema ambaye atavunja sheria ataguswa!


Na mimi naungana nawe kuwahakikishia hawa kuwa kamwe hawatagusa ikulu
 
Back
Top Bottom