Sitaki kupata watoto


Wazazi wako wangekuwa na mawazo kama yako, muda huu ungekuwa unaswim kwenye testicles za mzee...
 
Ukishafika miaka 55+ ndio utajua depression ipoje while you are alone.
 
ujana una mwisho, ..kuna siku utawahitaji tu na kizuri ni kwamba watu wa kalba yako Mungu huwa kawajaalia kuishi maisha marefu,...maji utaita mma😂
 
I will live my life, enjoy my money and die slow, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…