Sitaki kupata watoto

Pole sana.Lkn Uzuri,ni Kwamba siku zote,Majuto huwa ni mjukuu.Ngoja ufike uzeeni ndio uje na thread hii.
 
So kwako maisha ni starehe,basi.Dah,hujitambui kabisa.Maisha si starehe,wala kuwa na mali sio issue,maisha ni kutimiza mapenzi ya Mungu hapa duniani(to extend God's Kingdom here on earth),ikiwa ni pamoja na agizo lake la kuijaza Dunia.Mungu ametuagiza hivi,"Nendeni mkaongezeke, muijaze Dunia." What does it mean,kama wewe hutaki kuoa na kuzaa watoto,you are going against God's plan,and there will be consequences.Naomba niseme hivi,sikutishi,lakini that is true,unless you are doing that voluntarily,ili umtumikie Mungu.

Mwisho,mawazo yako yanaonyesha kwamba ni mtu selfish sana.
 
[emoji28][emoji28]itakuwa hujafanya uchunguzi yakinifu katika hilo


Mbona wengine tuna enjoy tu maisha na familia zetu[emoji1739]
 
Una matatizo ya uzazi. Nenda hospital ukatibiwe. Hao wenye watoto na hawana furaha wanapatikana wapi nchi hii?
 
Yesu, paulo, yeremiah walizaa au kuwa na familia???

Mbona paulo mwenyewe anasema asiyeoa anafanya vema zaid...

Nafkr marriage and kids are optional... And not for everyone..
 
mtoa mada ana hoja ya msingi ila uwasilishwaje wake ni fikirishi, matusi yatamuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…