Ni optional kama huoi kwa nia ya kumtumikia Mungu,wewe hutaki kuoa kwa kuwa unapenda starehe na upo selfish,that is wrong.Yesu, paulo, yeremiah walizaa au kuwa na familia???
Mbona paulo mwenyewe anasema asiyeoa anafanya vema zaid...
Nafkr marriage and kids are optional... And not for everyone..
Una kitu utafika mbali.Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Subiri uzee ukikufika ndo utajua maana ya watotoIko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Kabisa yaani ataona umuhimu badaeSubiri uzee ukikufika ndo utajua maana ya watoto
Watoto ni baraka kipenzi fanya wepesi upate hata wa kumuagiza/ kukupigisha kelele/ kukuongelesha masaa mengi dear!!!
hakuna watu tunaopedna watoto kama tusio na kitu!Mwamba nina watoto wawili siku nikitia mguu home sitamani hata kurudi Mkoani. Hujajua raha ya kuwa na watoto.
Ukizaa na una shida za kutosha ndio hutapenda watoto
Unaweza usiwe na watoto na ukawa na liugonjwa likutese.Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Inshallah dear Yani nasubir iyo siku sijui itakuwaje Yani siku ya kwanza namshika mwanangu😍Watoto ni baraka kipenzi fanya wepesi upate hata wa kumuagiza/ kukupigisha kelele/ kukuongelesha masaa mengi dear!!!
Mtoto ni faraja kubwaaaa sana kiukweli!!
Thatha mkuu huon kujaza watoto ambao huna uwezo wa kuwapa fyucha nao ni ubinafsi? Kile ndugu zake Ushimen wasukuma wanachofanya kuzaliana kama panya kule sio ubinafsi? Watoto wananuka umaskini unaona kabisa huyu mtoto fyucha hana unaona kabisa akifanikiwa ni muujiza wa bwana yesuSo kwako maisha ni starehe,basi.Dah,hujitambui kabisa.Maisha si starehe,wala kuwa na mali sio issue,maisha ni kutimiza mapenzi ya Mungu hapa duniani(to extend God's Kingdom here on earth),ikiwa ni pamoja na agizo lake la kuijaza Dunia.Mungu ametuagiza hivi,"Nendeni mkaongezeke, muijaze Dunia." What does it mean,kama wewe hutaki kuoa na kuzaa watoto,you are going against God's plan,and there will be consequences.Naomba niseme hivi,sikutishi,lakini that is true,unless you are doing that voluntarily,ili umtumikie Mungu.
Mwisho,mawazo yako yanaonyesha kwamba ni mtu selfish sana.
Mungu abariki kizazi chako dear Ni raha isio na kifani!Inshallah dear Yani nasubir iyo siku sijui itakuwaje Yani siku ya kwanza namshika mwanangu😍
Nimekaa na watoto kiukweli wanafariji wanachekesha,wanangamsha kwakweli mmebarikiwa sana,
wewe una msongo wa mawazo uliochanganywa na ugonjwa wa afya ya akili. watu wanakula hata mavi ili wazae lakini wewe unatamka kabisa maneno hayo? tema mate chini. babako angekuwa alikuwa anapigaga puli, ulitakiwa kupigwa puli tu wewe.Iko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
Another sperm wastedIko hivi, so far sijawahi kumuona mtu mwenye mtoto akiwa na furaha. Naona wana shida tu, kila siku njaa kali, dhuluma, hate, depression, hopelessness and mental issues.
I will live my life, enjoy my money, kuwa na familia ni shida tupu, ukijichoka tafuta familia ni hayo tu.
MKUU HAJASEMA NDOA...kasema watoto 😀 😀 😀SAFI SANA
KATAA NDOA