Sitaki kupata watoto

wewe una msongo wa mawazo uliochanganywa na ugonjwa wa afya ya akili. watu wanakula hata mavi ili wazae lakini wewe unatamka kabisa maneno hayo? tema mate chini. babako angekuwa alikuwa anapigaga puli, ulitakiwa kupigwa puli tu wewe.
😀😀😀😀😀kwamba mzee angempigaa nyetooo tuu
 
Itakuwa huna hela, unajaribu kukwepa majukumu wewe.
 
yaani hapa nilipo mke kasafiri na watoto nyumba naiona taabu tupu,kuna raha yakuwa na watoto wewe nimeimiss sana fuujo zao, ila akili ndogo haiwezi mudu kuishi na watoto
 
Wazazi wako nao wangefanya huu uamuzi, sasa hivi ungekuwa unajimwambafai hapa?

Pesa ni muhimu ila ina kikomo cha kuleta furaha
 
Kataa ndoa, ila swala la mtoto that's highest level of selfishness.

Uwa nina imagine wazazi wangu wangesema wanataka mtoto mmoja tu? Mi nisingekuepo. Au wangesemw hawataki watoto.

Mkuu, kama kiuchumi uko vema, walete madogo duniani.
Achana na mambo ya wazazi walifanya kwa fikra,,,Maono,, nafasi na uwezo walio jaaliwa kwa kipindi chao,,,nawe fanya yako,,Usiige Ya MTU/watu!!
 
Watoto ni muhimu,unasema hutaki,sababu sasa hivi uko independent labda una marafiki wachache,uzeeni kibao kikibadilika when you can't take care of yourself na marafiki hawawezi kukusaidia sababu na wenyewe wanahitaji msaada, ndipo utaona umuhimu wa watoto,

hujasema uko nchi gani ila usipumbazwe na wa west wenyewe wana mifumo mizuri unaweza kuishi independent all your life, tafuta watoto ndugu..

.. Ila kuwa na watoto sometimes sio guarantee ya kuwa na happiness unaweza kuleta mtoto duniani akakuchallenge akawa mvuta bangi stress tupu, ukifikiria wazazi wana struggle mtoto akiwa mdogo hajawa independent unahangaika wee akilia,una sacrifice usingizi wako kwa kubadilisha nepi,feeding etc can be depressing, kama hio haitoshi anakua mpaka anakua teenager, uhangaike na school fees na constantly uwe una mmonitor sababu anabadilika na hormones, ukiangalia vizuri baada ya kuzaa tu unakua huna life la kwako mwenyewe,mpaka una staafu ndio labda unapumua,SIKUSHANGAI kutotaka watoto for real....
 
Chukua Big peps kwa mang ntalipa
 
Ni sawa tu mkuu [emoji3][emoji3][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…