Sitaki kusema kuhusu Barabara LAKINI SIMANJIRO HAINA BARABARA πŸ™Œ

Lini tumepata Uhuru? Hadi leo barabara isijengwe na ndiyo Wilaya yenye Madini ya Tanzanite
Yani ukizunguka Simanjiro huwezi dhania ...kuna eneo linaitwa Lemshuko kunatoka madini ya green yanatajwa kuwa na Thamani Zaidi ya Tanzanite lakini hakuna hata barabara ya mfano , hakuna umeme πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Poleni
 
Inabidi muwe mnasema CCM OYEEEEEEEE Ndiyo itajengwa
 
Shida ya Simanjiro sio Pesa ya Barabara.Shida wote wanabeba Pesa wanaleta Arusha...Wanajitazama zaidi kama sehemu ya Mkoa wa Arusha kuliko Mkoa wa Manyara.Ukitaka kwenda Makao makuu ya Mkoa wao yaani Manyara inabidi ama upite arusha au upite Dodoma.Quality ya Wabunge wao na Raia wao nayo kuna wakati inasababisha wakwame zaidi
 
🀦🀦
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…