NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Sasa hivi sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na waliomuweka madarakani mangungu kwani kama mangungu angekua hatoshi na hakidhi vigezo asingerudishwa tena madarakani lakini walomchagua nadhani wamezingatia vigezo na masharti tunashukuru uchaguzi bila shaka umepita salama kilichobaki sasa ni viongozi kua na mshikamano na ushirikiano wa pamoja ndani ya club ili muendelee kuipa hadhi na heshima logo ya simba ndani na nje ya mipaka yetu na mufikie malengo mliojiwekea ndani ya club