Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo..Lazima wafungwe hawa under dog
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamepita ruti ya dubaiWamesafiri kwa bas toka Algeria kwa hizo siku nne? Hoja ya uchovu huwa siasa tu,kama timu ni mbovu ni mbovu tu.
Weka rehani mkeo kama wenzako wanavyofanya, ili tuamini kuwa unasimamia ulichosemaSimba wstafungwa tu hsku ubishi. Mengine tunayo ongea ni fujo tu
Ubishani wa kizamani na kishamba. Unakuta mtaani wawili wanabishana: Mtafungwa! Hatufungwi!Simba wstafungwa tu hsku ubishi. Mengine tunayo ongea ni fujo tu
Hesabu za vip jumamos uck mpaka jmne asabui ni cku 4Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba
Ukweli utakuweka huru mkuu,why uwe mnafiki,hawa Mikia jmosi ndo wataelewa vizuri kuwa ni underwear/dogToka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba