Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Sitaki kuwa mnafiki, Simba atafungwa Taifa

Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba
Hesabu za vip jumamos uck mpaka jmne asabui ni cku 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka wamecheza Algeria Siku ya jumamosi wana wasili Leo Jumanne wametumia siku nne kusafiri kuja bongo alafu mechi Jumamosi utegemee ushindi huo utakuwa uongo wchezaji watakuwa wamechoka na mda wakujiandaa ni mdogo wenzao Vital wapo wapo kambini na kesho Jumatano watakuwa Dar tayari kumenyana na Simba
Ukweli utakuweka huru mkuu,why uwe mnafiki,hawa Mikia jmosi ndo wataelewa vizuri kuwa ni underwear/dog
 
Ukisema Simba atafungwa moja kwa moja utakuwa hutendi haki, Kwan kundi D kila timu inaweza kushinda ikichanga vizuri karata yake.
HAKUNA aliyeamini Kama Simba angemfunga ahaly pale kwa mchina [emoji41] (kwa mkapa samahani)
Ukichunguza vizuri kwa Sasa HAKUNA ungerdog club, kila timu imeonyesha uwezo wake hususan kwenye viwanja vya NYUMBANI!

Kuelekea jumamos Sina Shaka Simba atazichanga vyema karata zake, kwa sababu zifuatzo;

Mosi, as vita atatupania Kama alivyotupania ahaly, hivyo watakachotuna nacho wataenda kumsimulia Felix Tchiseked kwanini sisi ni Simba.
Pili, yeye Ana point Saba, sambamba na misri, hivyo atafunguka mwanzo mwisho ili apate goli la mapema, na ikiwezekana apate magoli mengi wakati huo Simba haitaleta masihara, mbele lazima okwi, kagere, boko culibaly, na chama watakuwepo mbele, japo chama huwa ananiboa Sana. Anapenda vituchenga vya ajabu ajabu Sana utani anacheza na timu ya wananchi (yanga) badala apige mbele yeye huwa anamsubiria adui wakati Hana nguvu!

Lakini inshallah kwa mchina hachomoki mtu, DO or DIE kitaeleweka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom